Dudubaya amjibu Mwakyembe, azidi kumshukia Ruge Mutahaba

Dudubaya amjibu Mwakyembe, azidi kumshukia Ruge Mutahaba

Sielewi maana ya muziki na utunzi au naomba nieleweshe kwa zile nyimbo za dudubaya hivi nayeye ni msanii au anatafuta pa kufia akwendeee kule tena ngoja akakutane na masela nondo wa mbimoe ukuta jela huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo dada yako Saida mwenyewe kwa kinywa chake aliweka wazi kua Ruge sie aliyemuibia bali yule meneja wake wa zamani ndio alikua anachukua hati miliki za nyimbo zake,

Ngwear!? lol, kwa hiyo Ruge ndie alikua anamvutisha madawa au?

Haya wewe ungana na Dudubaya mfe mkazikwe ili muende kumsuta vizuri huyo marehemu, maana kupiga kelele huku ni kazi bure, Hawasikiiii.

Wewendo unapiga kelele kumtetea marehemu anayelalamikiwa na Dudu haya....Ruge alikuwa janga la wasanii hutaki sikulazimishi.
 
Kumbe wengi mnalaumu hata bila kuwa na ushahidi na mnachanganya mambo. Ruge alimtapeli wapi Saida wakati aliyemtapeli ni Felician yule wa FM studios aliye msainisha mkataba kuwa nyimbo ni mali yake.

Mkuu Tafta Alabam ya Sugu inaitwa untVirus utajua kwa nn huyu Jamaa namwita Fisadi wa kazi za Wasanii.....
 
Wewendo unapiga kelele kumtetea marehemu anayelalamikiwa na Dudu haya....Ruge alikuwa janga la wasanii hutaki sikulazimishi.
Huyo Pyscho alikua wapi kulalamika wakati marehemu yupo hai? leo amefariki ndio analalamika sasa nani atamsaidia wakati mlalamikiwa amefariki,
hivi nyie watu mnatumia cocaine au heroin?
 
Ruge analiliwa na watu wengi akiwemo hata Rais wetu JPM, JK, mawaziri, wabunge, viongozi wakuu na watu maarufu achilia mbali vijana na wadau mbalimbali wa Clouds. Je, Katikati ya makundi hayo ya waombelezaji Dudu baya anapata wapi ujasiri wa kuyasema yale aliyoyasema kwa marehemu Ruge Mutahaba?

Je, Dudu baya alikuwa na uhusiano wowote na Ruge?
Je, Dudu baya ana hoja yenye mashiko?
Je, peke yake anaweza kukuwa na ujasiri wa kutengeneza clip kama ile na kuiachia hewani?
Je, yuko na akina nani nyuma yake?
Je, ana maslahi gani kwa kufanya vile?
Je, ni kweli mabaya ya Ruge yanazidi mazuri yake kustahili kulaumiwa na watanzania katika kipindi hiki?
 
Huyo Pyscho alikua wapi kulalamika wakati marehemu yupo hai? leo amefariki ndio analalamika sasa nani atamsaidia wakati mlalamikiwa amefariki,
hivi nyie watu mnatumia cocaine au heroin?
Kwani ameanza ongea sahivi? Alishamchana toka yupo hai!
 
Kumtukana mtu aliyekufa ni dalili ya kupungukiwa akili sababu kama alikua fisadi ndio kishaenda sasa apambane na mziki wake.
Ni dalili ya kupungukiwa akili kwa upande wako, ila hujui emotionally nini kinamsukuma kufanya hayo. He has the right to express his feelings bila kubughudhiwa kama ambavyo wanaomsifia hawabugudhiwi!
 
Wanasema eti ni mila na desturi ya watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wahuni tu hao.Hizo mila zimeandikwa WAPI tuziimbe?Mambo ya kumlazimisha mwingine ampende mtu fulani wakati hisia zake hazikubali ni zaidi ya upumbavu.Halafu naamini ni dhambi kujidai unaonesha upendo machoni wakati chuki na hasira vinawaka moyoni.
 
Ni dalili ya kupungukiwa akili kwa upande wako, ila hujui emotionally nini kinamsukuma kufanya hayo. He has the right to express his feelings bila kubughudhiwa kama ambavyo wanaomsifia hawabugudhiwi!
Ana express his feelings kwa mtu aliyefariki au kwa wapendwa wa marehemu? mtu wako wa karibu akifa halafu anatokea mtu/watu wanamkejeli na kumdhihaki utasema wana express their feelings au sababu huyo ni mtu asiyekuhusu?

Uhuru wa kuongea upo lakini waacheni wafu waheshimiwe.
 
sio lazima ulie ingawa pia sio lazima ufurahie hadharani mbele ya watu wanaolia hadharani.
Alipouawa Osama kuna waliolia na kuna walioshangilia. Aliponyongwa Sadam kuna waliolia na kuna walioshangilia. Alipofariki mwalimu Nyerere kuna waliolia na kuna walioshangilia. Kifo chochote kinapotokea siyo wote wanasikitika na hakuna sheria inayolazimisha watu kusikitika au kutoonyesha mabaya ya aliyefariki.
 
Ruge analiliwa na watu wengi akiwemo hata Rais wetu JPM, JK, mawaziri, wabunge, viongozi wakuu na watu maarufu achilia mbali vijana na wadau mbalimbali wa Clouds. Je, Katikati ya makundi hayo ya waombelezaji Dudu baya anapata wapi ujasiri wa kuyasema yale aliyoyasema kwa marehemu Ruge Mutahaba?

Je, Dudu baya alikuwa na uhusiano wowote na Ruge?
Je, Dudu baya ana hoja yenye mashiko?
Je, peke yake anaweza kukuwa na ujasiri wa kutengeneza clip kama ile na kuiachia hewani?
Je, yuko na akina nani nyuma yake?
Je, ana maslahi gani kwa kufanya vile?
Je, ni kweli mabaya ya Ruge yanazidi mazuri yake kustahili kulaumiwa na watanzania katika kipindi hiki?

kiongozi huyo konki ugum wa maisha ndio unamsumbua,anapewa vijisenti ili alipuke upuuzi wake

"yeye sio kichwa,yeye anaweza fichwa nikiwachora wasanii wa bongo siioni sura yake kwa picha"dudu
 
Back
Top Bottom