Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu kajazwa sifa na maria baada ya mchango wa gariDudu atulize ball sisi tunaenda kumstaafsha ayatollah kaguta nkurunzinza mbowe 😄😄😄😄
Fisadi mbowe kayatimba 😄😄Lissu kajazwa sifa na maria baada ya mchango wa gari
Maria kiboko, kamfix Lissu mpaka kaingiaFisadi mbowe kayatimba 😄😄
Wapiga kura wa Lissu wengi wapo Facebook na instra.Lissu kajazwa sifa na maria baada ya mchango wa gari
Akina maria wapo XWapiga kura wa Lissu wengi wapo Facebook.
Mnarudia kauli zile zile CCM!! Fanyeni survey tu ya kawaida mtaani. Wana mageuzi wote wako na LissuWapiga kura wa Lissu wengi wapo Facebook na instra.
Dudu Baya usimu underrate, ana influence kuliko wewe HAIJALISHI ni mwanamuziki aliyefilisikaArtists huwa wanajipa umuhimu sana kwenye siasa.
Hivi kweli kuna mjumbe ambaye atabadilisha msimamo wake kwa sababu amepokea "ushauri" kutoka kwa Dudu Baya?
Just create your music and go home to sleep.
Nobody cares what you think.
Dudu Baya usimu underrate, ana influence kuliko wewe HAIJALISHI ni mwanamuziki aliyefilisika
Mitaa ya instagram au,Mnarudia kauli zile zile CCM!! Fanyeni survey tu ya kawaida mtaani. Wana mageuzi wote wako na Lissu
Ana influence kama Afande Sele, hata kuongea wanafanana.Dudu Baya usimu underrate, ana influence kuliko wewe HAIJALISHI ni mwanamuziki aliyefilisika