Dudubaya: Lissu hawezi kuwa Mwenyekiti CHADEMA

Dudubaya: Lissu hawezi kuwa Mwenyekiti CHADEMA

Kwani shida ya bangi ni nini? Mbona Barack Obama alivuta ujanani na akiwa mtu mzima akawa Rais wa USA.
Tofautisha uvutaji wa matajiri na uvutaji wa maskini anayejaribu kutoroka matatizo yaliyomzidi
 
Artists huwa wanajipa umuhimu sana kwenye siasa.

Hivi kweli kuna mjumbe ambaye atabadilisha msimamo wake kwa sababu amepokea "ushauri" kutoka kwa Dudu Baya?

Just create your music and go home to sleep.

Nobody cares what you think.
Huyu Dudubaya tangu lini akawa mchambuzi wa siasa,? Alphonce Mawazo hakuwahi kuwa popular kitaifa.

Alijulikana huko huko Kanda ya ziwa, wengine tumemfahamu baada kifo chake kutangaza .

Nyakati za sasa zimemkataa Mbowe, tofauti na kipindi walipogombea uenyekiti akina Zitto na Chacha Wangwe
 
Back
Top Bottom