Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Hao si ndo wamekua wakiishabikia chadema siku zote au umesahau??Wapiga kura wa Lissu wengi wapo Facebook na instra.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao si ndo wamekua wakiishabikia chadema siku zote au umesahau??Wapiga kura wa Lissu wengi wapo Facebook na instra.
Msikie kwenye hii video:-
View attachment 3194447
Mimi sina njaa lakini namuunga mkono Mbowe. Usituamulie
Jambo media!!??Hii habari Jambo Media hawawezi kurusha😂😂
Muda wa Ayatollah Mbowe kukaa benchi umefikaJambo media!!??
Yule jamaa anaonekana ni mwanaharakati pure, akipewa mafunzo kidogo tuu na akaahidiwa mabikra 72, anaingia msituni yule
Ni media ya propaganda za lisu, ndo media pekee inayofaham wanachadema wote nchini wanaomuunga lisu mkono
Kura bwashee, yaani votes!!! Hizo ndo zitaamua mazeeMuda wa Ayatollah Mbowe kukaa benchi umefika
Endelea kujificha kwenye kura, utaelewa muda sio mrefu kuwa Lissu ni nguvu ya watuKura bwashee, yaani votes!!! Hizo ndo zitaamua mazee
Waandishi wetu mnachekesha sana, mnaenda kumhoji mvuta bangi ili mpate mawazo yake yawe habari! Mbona mnashindwa kumhoji Abdul?Msikie kwenye hii video:-
View attachment 3194447
Abdul hana nafasi yeyote kwenye Chama wala kwenye serikali ila ni mtu muhimu kwenye kupenyeza agenda,unataka waandishi wamuhoji nini wakati Wenje amesha kiri kukutana nae?Waandishi wetu mnachekesha sana, mnaenda kumhoji mvuta bangi ili mpate mawazo yake yawe habari! Mbona mnashindwa kumhoji Abdul?
mboye na lisu ni walevi piaUnatuletea Mawazo ya walevi humu