Dudubaya: Lissu hawezi kuwa Mwenyekiti CHADEMA

Dudubaya: Lissu hawezi kuwa Mwenyekiti CHADEMA

Dudu baya

The word creates things

Jamaa hilo jina linaendana na maisha yake.
Unaijadili maisha ya Dudubaya badala ya kujibu/kujadili hoja yake!?

Hakuna aliyemkamilifu maishani, hata wewe unayedhani maisha Yako Yako vizuri Kuna mambo mengi tu hujatimiza.

Jadili hoja badala ya mtu binafsi.
 
Hapo hamna hoja mkuu .
 
Hii habari Jambo Media hawawezi kurusha😂😂
 
Unaijadili maisha ya Dudubaya badala ya kujibu/kujadili hoja yake!?

Hakuna aliyemkamilifu maishani, hata wewe unayedhani maisha Yako Yako vizuri Kuna mambo mengi tu hujatimiza.

Jadili hoja badala ya mtu binafsi.
Hawa ni watu wa X mkuu... Wasikupe shida
Sasa hivi wanavumisha upepo tu😃, ila miti haivunjiki
 
NI kitu gani cha maana alichowahi ku-influence kwenye nchi hii kikaenda na watu wakabadilisha maamuzi yao just because Dudu Baya kasema?

Anamu-influence nani?
Ametengeneza muziki wake ambao vijana wengine wameiga na wanaishi kutegemea muziki
 
Yaani mbowe anaungwa mkono na watu wasiotumia akili zao sawasawa eidha kwasabb ya njaa (mfano akina Yeriko Nyerere) au bangi kama huyu dudubaya!.
 
Back
Top Bottom