Dudubaya: Lissu hawezi kuwa Mwenyekiti CHADEMA

Artists huwa wanajipa umuhimu sana kwenye siasa.

Hivi kweli kuna mjumbe ambaye atabadilisha msimamo wake kwa sababu amepokea "ushauri" kutoka kwa Dudu Baya?

Just create your music and go home to sleep.

Nobody cares what you think.
 
Dudu Baya usimu underrate, ana influence kuliko wewe HAIJALISHI ni mwanamuziki aliyefilisika
 
Dudu Baya usimu underrate, ana influence kuliko wewe HAIJALISHI ni mwanamuziki aliyefilisika

NI kitu gani cha maana alichowahi ku-influence kwenye nchi hii kikaenda na watu wakabadilisha maamuzi yao just because Dudu Baya kasema?

Anamu-influence nani?
 
ONA SASA,MPAKA VICHAA NAO ETI WAMEJITOKEZA!πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…