Dudubaya: Umiss ni umalaya; wasichana wa vyuoni ni machangudoa

๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Na mimi nashangaa tunamjadili vipi mtu aliyechanganyikiwa na maisha?
Mkuu unamjadili Mamba24 badala ya kujadili hoja yake? Nenda makaburi ya Kola kule Morogoro uone yalivyosheheni maprofesa wa SUA waliokuwa wakila wanafunzi walioathirika na kuwapa degree za chupi.
 
Imeletwa hija yake kujadiliwa na sio yeye.
Hata hivyo yupo sahihi kabisa,kwa mtu yoyote aliyepitia chuo kikuu ni shahidi katika hilo kuwa 80% ya wasichana vyuoni wanafanya ni umalaya.
Namshangaa sana huyo jamaa. BTW low-minded people always dicuss people instead of issues.
 
Mkuu unamjadili Mamba24 badala ya kujadili hoja yake? Nenda makaburi ya Kola kule Morogoro uone yalivyosheheni maprofesa wa SUA waliokula wakila wanafunzi walioathirika na kuwapa degree za chupi.
Degree za chupi ni kweli nyingi karibu vyuo vyote Tanzania. Nakumbuka room mate wangu alipewa ujauzito na Professor kuogopa ku-disco ๐Ÿ˜ฅ

Tatizo dudubaya anakurupuka km kimbunga na anayosema ukweli hao wasanii wamewatafuna sana wanachuo.
 
Mamba ana miaka 24?!, mnatania!, kama ana miaka hiyo yuko hivyo je akifikisha miaka 50 atakuaje?
 
Kwa hiyo wewe unaona njia mujarab ni kutowapeleka shule badala ya kuwasihi waache umalaya mkuu? So sad๐Ÿ˜จ
Ndio mkuu. Waandikisheni kozi za online wasome! Wawafae mtupunguzie malalamiko
 
Ndio mkuu. Waandikisheni kozi za online wasome! Wawafae mtupunguzie malalamiko
Kwani unafikiri kozi za online haziwavulishi wasichana chupi? Endelea kujidanganya mkuu.
 
Degree za chupi ni kweli nyingi karibu vyuo vyote Tanzania. Nakumbuka room mate wangu alipewa ujauzito na Professor kuogopa ku-disco ๐Ÿ˜ฅ

Tatizo dudubaya anakurupuka km kimbunga na anayosema ukweli hao wasanii wamewatafuna sana wanachuo.
 
Upuuzi kama upuuzi mwingine, wasichana wangapi kati ya wangapi ni malaya? Umetumia njia gani kuwasoma?.. utafiti, my ars.e!
 
Kwa mazingira ya vyuo kwa sasa yana vishawishi vingi sana, bila binti kuwa na malezi imara au msimamo binafsi, ni rahisi sana kuonekana mwanachuo mchana, usiku akawa changudoa.
 
Mkuu unamjadili Mamba24 badala ya kujadili hoja yake? Nenda makaburi ya Kola kule Morogoro uone yalivyosheheni maprofesa wa SUA waliokuwa wakila wanafunzi walioathirika na kuwapa degree za chupi.
Hata hao wasiokula wanafunzi wa chuo chochote, njia yao ni hio hio, swala la muda tu.
 
Hata hao wasiokula wanafunzi wa chuo chochote, njia yao ni hio hio, swala la muda tu.
Lakini wale wenye uroho wa kwuma tayari wapo Kola wanaoza mkuu.
 
Unakataa majibu ya utafiti kama nani mkuu? Umeishafanya utafiti kinzani?
Hakuna utafiti kwenye hii thread dhaidi ya maoni binafsi. Kuita chochote kilichopo katika huu uzi kama "fact au research" Ni kushusha hadhi ya maneno husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ