Kamati ya maadili ya wapi?Dudubaya japo anavyosema baadhi ni kweli, lakini ajiangalie, kuna siku atashtakiwa na atashindwa kujitetea. Au ataitishwa kwenye kamati ya maadili.
Kwa asilimia nyingi asemalo ni kweli, lakini watu hawataki ukweli usemwe, hivyo atafakari kabla neno halijamtoka mdomoni.
Narudia Tena kusema Virgins will pass everywhere except the university.Taja hiyo aina ya wanawake wa mtaani wanaofaa kwa ndoa kwa faida ya member
Na pia ni kigezo gani umetumia kusema mwanachuo yeyote ni changudoa ?
Je huko mtaani hakuna machangudoa?
Chuo Kikuu kwa mifumo ya elimu yetu binti nakuwa na miaka 19 mwishoni, 20 au 21. Sasa cheki cousins wako au ndugu zako wa kike na majirani ambao wako form 2 mpaka form 3, na katika miji iliyochangamka....Utagundua bikra ni chache sana, pengine hata ya nyuma ilishafyekwa.Narudia Tena kusema Virgins will pass everywhere except the university.
Kiswahili
Bikirazitapita mahali pote ila si chuo kikuu.
Kisukuma
Bikira jikubhita pyee ahose ila hati chuo kikuu!
Hujaelewa wapi?
Mbona wewoooo.......umeumia!??Una shauri vijana wasioe wasichana waliopo kwenye vyuo mbali mbali
Weka sasa na ushari hao vijana
Sasa waoe wanawake wa aina gani
Kwa maana hiyo wasomi wasiolewe😁
Darasa la 7 wasiolewe 😁
Single mother wasiolewe😁
Wale wasio bikra wasiolewe 😁
KATAA NDOA WANAJIZOLEA USHINDI MWINGINE 👏👏
Endelea kukataa mkuu naongea kama niliekuwa mteja wao miaka hiyoKwamba 99% ya mabinti wa vyuoni wanajiuza.
Au mimi sikupitia chuo
Maana kwenye kuendekeza relationships ni kawaida sana ila kuwa wanajiuza kwa kiwango hicho... Nakataa
Narudia Tena kusema Virgins will pass everywhere except the university.
Kiswahili
Bikirazitapita mahali pote ila si chuo kikuu.
Kisukuma
Bikira jikubhita pyee ahose ila hati chuo kikuu!
Hujaelewa wapi?
zChuo Kikuu kwa mifumo ya elimu yetu binti nakuwa na miaka 19 mwishoni, 20 au 21. Sasa cheki cousins wako au ndugu zako wa kike na majirani ambao wako form 2 mpaka form 3, na katika miji iliyochangamka....Utagundua bikra ni chache sana, pengine hata ya nyuma ilishafyekwa.
Mjadala wa Dudu Baya una generalize sana vitu hususan kwa upande wa chuo kikuu, na bad thing hajasoma mpaka level hizo. Hii ni kuwa insult wanawake amabo wanajituma, hakuna kitu kinaitwa digrii ya chupi...
Kuna time nilikuwa naenda pale maeneo ya uhasibu nikaamua kufanya utafiti simple tu nikagundua kuna wadada wanajiuza kwa kujipanga lakini sio wanachuo.
Na kuna wanachuo wanaenda katika starehe na anaweza kuanzisha mahusiano hayo, au akashawishiwa. lakini huyu bwana Tumaini anataka kutufanya tuamini kila mwanamke anayesoma mpaka chuo kikuu amewahi kuwa muuza mwili.
Ni kama pia useme kila mwanaume ni mnunua malay**, kuna tofauti mtu akipata one night stand ambayo imetokea kwa watu kukubaliana na sio michongo yao, just feelins.
Mnunuzi ni yule anafanya intentional na tuna bargain na kama kuna further contacts but its all business.
Kwahiyo kutafuta bikira chuo ni sawa na kutafuta bikira JF et😁Narudia Tena kusema Virgins will pass everywhere except the university.
Kiswahili
Bikirazitapita mahali pote ila si chuo kikuu.
Kisukuma
Bikira jikubhita pyee ahose ila hati chuo kikuu!
Hujaelewa wapi?
Hapana sijaumia kabisaMbona wewoooo.......umeumia!??
Humu Jamvini silidi zipo mbonaSahihi kabisa. Hujakosea mkuu.
Kama wewe unaona Dudubaya kasema uongo basi tuambie ukweli ulivyo mkuu. Kama huna, kaa kimya tu; muache Mamba24 atoe elimu kwa umma.Hakuna utafiti kwenye hii thread dhaidi ya maoni binafsi. Kuita chochote kilichopo katika huu uzi kama "fact au research" Ni kushusha hadhi ya maneno husika
Nimeipenda hiiyoYes. Degree zinazopatikana kwa kuwavulia wahadhiri chupi ni degree za chupi mkuu.
Mkuu, huu ni utafiti au ni maoni yako binafsi?Ukuaji tu na exposure kwa uande wa wanachuo, i can bet hao wa kujiuza katika chuo cha watu 20,000 hawafiki hata 100.Ila kuwa na mahusiano ya hapa na pale kwa sababu za kushindwana kwa nana moja au nyingine hayo yapo tu kama tunavyoishi katika jamii pia.
Sasa form four ambae kamaliza na miaka 17 hadi 18 akikaa mtaani miaka sita yani anakuwa 24, hajaolewa unafikri anachezea mitalimbo mingapi kwa miji mikubwa, kwa uzoefu wangu kama 8 au 9. Hivyo hivyo na mwanachuo ambae hajiuzi ila anasoma na anakuwa ana mahusiano,chuo au mtaani mpaka anamaliza inaweza fika idadi kama ya mtaani.
Tatizo watu ambao wamekuwa maarufu au influetial katika jamii wanasikilizwa hata kama point zao ziko vague. Okay vipi kuhusu michapano inayoendelea katika taasisi au inayofanywa na viongozi wa dini, ukienda vaguely, utjikuta na kauli kama;
Mashehe na mapadri ni wazinzi na wanatembea na wake za watu...9WAKATI WANAOFANYA HIVYO NI WACHACHE KATI YA WENGI WANAOJITUMA KUWA SAHIHI)
Huko kwa warembo ni habari nyingine tofauti
Du! Hii issue mbona umeifanya personal kihivyo mkuu?z
Jitu hata malaya halijawai kununua linaropoka tu hear saying.
Mnashindwa kulea watoto huko darslam, wanakua oya oya na kuanza kujiuza left and right huku wakijiita wanachuo.
Mnasingizia wadada wa watu.
Kama hamtaki kuwaoa wanachuo tuachieni sisi Gentlemen.
Siwezi oa unskilled woman for the idea of faithful sijui what what, peleka huko.
It is so satsfying to have partner ambae yuko well educated and exposed, sio jitu lipo lipo tu story zake kubwa ni mvua za huko kijijini kwao 🚮
Wadogo zangu wawili wa kike wamejazwa mimba na maprofesa na kuwapa degree za chupi. Mmoja amejazwa kule UDSM na mwingine kajazwa kule Tumaini University. Halafu watu wanakuja hapa kutetea ujinga, wakati tulioathirika wa umalaya wa chuo tuna ushahidi kuntu.Kwa mazingira ya vyuo kwa sasa yana vishawishi vingi sana, bila binti kuwa na malezi imara au msimamo binafsi, ni rahisi sana kuonekana mwanachuo mchana, usiku akawa changudoa.