Wadogo zangu wawili wa kike wamejazwa mimba na maprofesa na kuwapa degree za chupi. Mmoja amejazwa kule UDSM na mwingine kajazwa kule Tumaini University. Halafu watu wanakuja hapa kutetea ujinga, wakati tulioathirika wa umalaya wa chuo tuna ushahidi kuntu.Kwa hiyo wewe maneno ya dudubaya ndio utafiti wako umekamilika, kwa nini usiende ukachukua dada poa tatu halafu ukazifanyia utafiti taratibu. Suala na mwanamke kuwa malaya hata wake za watu wanajiuza tena hadi kwenye madanguro kujiuza na mtu mwenyewe na sio jamii fulani
Du! Hii issue mbona umeifanya personal kihivyo mkuu?
Wadogo zangu wawili wa kike wamejazwa mimba na maprofesa na kuwapa degree za chupi. Mmoja amejazwa kule UDSM na mwingine kajazwa kule Tumaini University. Halafu watu wanakuja hapa kutetea ujinga, wakati tulioathirika wa umalaya wa chuo tuna ushahidi kuntu.
Wazungu wanasema ''give a dog a bad name and hang him". Nchi yenye walalahoi wengi kama yetu, wanaume wengi huwa wana-label, wanawake ambao siyo rahisi kupatikana na walalahoi majina mabaya ili kujiliwaza.Umalaya hauangalii mtu anafanya shughuli gani,ni tabia ya mtu binafsi.kuna mabinti hawajafika chuo hawajui hata semester maana yake Nini ila wanagawa kama karanga.
Kuna mabinti waimba kwaya kabisa wanahubiri kwelikweli ila ukifunulowa ya sirini utastaajabu.
Umalaya ni tabia ya mtu binafsi
HakikaWazungu wanasema ''give a dog a bad name and hang him". Nchi yenye walalahoi wengi kama yetu, wanaume wengi huwa wana-label, wanawake ambao siyo rahisi kupatikana na walalahoi majina mabaya ili kujiliwaza.
Sisi hatumkandii mtu bali tunasema ukweli uliopo. Umalaya ni sifa inayojengwa na mhusika mwenyewe. Sasa kama wao hawataki kuacha umalaya sisi tukae kimya mkuu?Hapana mkuu,
Mnawakandia sana hawa mademu kama hua umalaya wanafanya peke yao, kumbe ni Ke Vs Me 😀
Watu wataogopa kupeleka watoto chuo
Tax Bubu ya Matonya..nimeiona live live..watu ni malaya mno wamejificha humu kwenye kazi,Maofisini..kila kona.Umalaya hauangalii mtu anafanya shughuli gani,ni tabia ya mtu binafsi.kuna mabinti hawajafika chuo hawajui hata semester maana yake Nini ila wanagawa kama karanga.
Kuna mabinti waimba kwaya kabisa wanahubiri kwelikweli ila ukifunulowa ya sirini utastaajabu.
Umalaya ni tabia ya mtu binafsi
Mkuu, huu wako ni utafiti mpya ambao hauhusiani na mada iliyopo mezani.Wazungu wanasema ''give a dog a bad name and hang him". Nchi yenye walalahoi wengi kama yetu, wanaume wengi huwa wana-label, wanawake ambao siyo rahisi kupatikana na walalahoi majina mabaya ili kujiliwaza.
Sijasema popote kuwa nimefanya utafiti mimi.Mkuu, huu wako ni utafiti mpya ambao hauhusiani na mada iliyopo mezani.
Mkuu umenena ukweli kabisa. Kuna mvuta bangi mmoja anakula demu mkali huwezi kuamini. Hali ya maisha imewafanya watu kukulana ovyo kwa sababu ya kukidhi maisha.Tax Bubu ya Matonya..nimeiona live live..watu ni malaya mno wamejificha humu kwenye kazi,Maofisini..kila kona.
Mkuu upo sahihi 100%kwa karne ya sasa kumechangamka mno..wanawake kwa waume wanagawa na kugawana haswa.
Mbupu zinapigwa na vipochi vinachakatwa..na ukiwaona hawafananii kabisaa..plus ongezeko la Dada zetu kuwa single Ma...ni hatari kubwa mno..
Kuna jamaa alinikuta namsikiliza Dudu ofisini muda wa mapumziko. Akashangaa msomi mzima unamsikiliza Dudu Baya, nikamwambia vuta kitu umsikilize bila mihemko. Dudu alikuwa anawachana wanasiasa wanafiki, nikamuuliza nyinyi wasomi mnaweza kuwa wakweli na wawazi kama huyu?! AlimkubaliNdio. Huyu jamaa yeye hupasua majipu tu bila kumuogopa mtu yeyote. Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Wazungu wanasema: Don't judge a book from its cover. Mamba24 anaongea kama mlevi lakini anasema ukweli tupu ambao hata maprofesa hawathubutu kuusema. Namkubali sana Mamba; napenda kumfuatilia kwa kuwa hoja zake zote zimejikita kwenye ukweli 💯%. Hapepesi macho hata kidogo.Kuna jamaa alinikuta namsikiliza Dudu ofisini muda wa mapumziko. Akashangaa msomi mzima unamsikiliza Dudu Baya, nikamwambia vuta kitu umsikilize bila mihemko. Dudu alikuwa anawachana wanasiasa wanafiki, nikamuuliza nyinyi wasomi mnaweza kuwa wakweli na wawazi kama huyu?! Alimkubali
Kulana kimasihara😄Tax Bubu ya Matonya..nimeiona live live..watu ni malaya mno wamejificha humu kwenye kazi,Maofisini..kila kona.
Mkuu upo sahihi 100%kwa karne ya sasa kumechangamka mno..wanawake kwa waume wanagawa na kugawana haswa.
Mbupu zinapigwa na vipochi vinachakatwa..na ukiwaona hawafananii kabisaa..plus ongezeko la Dada zetu kuwa single Ma...ni hatari kubwa mno..
Kumepitiliza..kama hujakomaa kiakili ndio hayo ya kuchinjana yanakuja..watu wapigana miti si kitoto.Kulana kimasihara😄
Vipi Haujawahi pitamo na kamiss lo????!!