Dudubaya: Watu mfano wa Chidi Benzi hawatakiwi kusaidiwa

Alimsema Lowasa Mgonjwa,ila Ona Leo Anakichungulia Kifo
Mwenye hiyo Audio au Video clip akimtukana Lowasa iweke humu
 
Alisha wahii kumwagia askari konyagi huko mwanza na kumtwanga makofi dudu baya alikua hatari.
 
Duh naona role model wa Chid Benz ameibuka kutoka mafichoni.Enzi zake MAPOPOMA walikuwa wanachezea vitasa vilivyotukuka kutoka kwake.
Yes..ze dudu yuko louder and clear..na kwasisi waswahili tutaona kakosea ila kwa tamaduni za mbele "ameongea ukweli mtupu"!
 
team fisadi hili neno MKONYO mmelitoa wap?, maana MUSSA ALAN amelitumia, na ww pia umelitumia, hebu tuambien mmelitoa wapi, au mnamchokoza faiza foxy?
Hahahaha! Kuna muheshimiwa mmoja alichapia hivyo bungeni
 
nmemuelewa sana Hutu jamaa dudu baya he the truth s,jiongeze uongezewe chid amejitakia mwenyew
 
Chidi alikuwa anakanusha Sana kuhusu kubwia unga kwake!...Dudu ameongea ukweli usio doa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…