GREGO
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,279
- 2,921
Ayo mengine utajua mwenyewe ....ila kikubwa marijuana sio madawa ya kulevya
Jaribu kupita nazo airport siku moja alafu ndio utajua kama ndio au sio!!
Ni zao la biashara "J. Msukuma (mb.)"Sio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ayo mengine utajua mwenyewe ....ila kikubwa marijuana sio madawa ya kulevya
Jaribu kupita nazo airport siku moja alafu ndio utajua kama ndio au sio!!
Ni zao la biashara "J. Msukuma (mb.)"Sio.
team fisadi hili neno MKONYO mmelitoa wap?, maana MUSSA ALAN amelitumia, na ww pia umelitumia, hebu tuambien mmelitoa wapi, au mnamchokoza faiza foxy?Naunga hoja mkonyo.. huyu bogus matusi aliyomukana Lowassa angeachwa a R.I.P
Yes..ze dudu yuko louder and clear..na kwasisi waswahili tutaona kakosea ila kwa tamaduni za mbele "ameongea ukweli mtupu"!Duh naona role model wa Chid Benz ameibuka kutoka mafichoni.Enzi zake MAPOPOMA walikuwa wanachezea vitasa vilivyotukuka kutoka kwake.
[emoji111] [emoji111] [emoji111] safii askari km alimwagiwa konyag bar ni vizuri utakuta yanALEWA MUDA WA KAZI NA WANA SILAHA...... KUUWA RAIA Wema ni kawaida tu...Alisha wahii kumwagia askari konyagi huko mwanza na kumtwanga makofi dudu baya alikua hatari.
Ka ukweli!
duh...si ataua kabisa..kamwili kale ka viepe yai...Hivi alishampiga shetta?!
..itakuongezea stimu za kulima ekari nzima au kula sima kubwa ya ugali(in Msukuma's voice)Haiwamalizi kimwili na kiakili.
ana spesho oda ya nyama ya nundu ...Dudu hajui konyagi sio nzur kwa afya Mbona yy kila siku anakunywa pale the kiss?
Kwani mr nice anakula ngada?Nawakubali sana wale wakongwe waliofanikiwa kukwepa mtego huu wa ngada: kina dudubaya, juma nature etc, ila wengine kina mr. Nice naona hali nao ni mbaya!
SALUTI SANA.
ushahidi utakuwa hautoshi.Hivi chid hawezi kutaja waliokuwa nawamwuzia madawa nao wakamatwe
yaonekana u mgeni kwenye tasnia hizi.mkonyo ni kiungo gani mwilini mwako?, au ulimaanisha mkono, vp cku hizi unamapengo?
Hahahaha! Kuna muheshimiwa mmoja alichapia hivyo bungeniteam fisadi hili neno MKONYO mmelitoa wap?, maana MUSSA ALAN amelitumia, na ww pia umelitumia, hebu tuambien mmelitoa wapi, au mnamchokoza faiza foxy?
Amesema ngadaKwan bangi sio dawa za kulevya?