Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
NamelessHii imekaaje mods ? ππView attachment 3681255
Ni kitu gani ? naomba muongozoHiyo ni morse code mkuu.
Kwa mujibu wa AINi kitu gani ? naomba muongozo
Karibia 90% ya wanadamu hatufanyi vitu muhimu .Achana nalo, sio muhimu.
Zina umuhimu gani , mbona kama upuuzi ?Kwa mujibu wa AI
Morse code ni mfumo wa kuwakilisha herufi, namba na alama kwa kutumia nukta (.) na mstari (-).
π€ Herufi za Morse Code
HerufiMorseHerufiMorse
A.-N-.
B-...O---
C-.-.P.--.
D-..Q--.-
E.R.-.
F..-.S...
G--.T-
H....U..-
I..V...-
J.---W.--
K-.-X-..-
L.-..Y-.--
M--Z--..
π’ Namba
0 = -----
1 = .----
2 = ..---
3 = ...--
4 = ....-
5 = .....
6 = -....
7 = --...
8 = ---..
9 = ----.
Mfano:
HELLO β .... . .-.. .-.. ---
Ukinipa jina, sentensi au ujumbe wowote, naweza kuugeuza kuwa Morse code.
Yanasikitisha sanaDaah kuna mambo
Hutumia kuwasiliana wapeleleziZina umuhimu gani , mbona kama upuuzi ?
Hujafanikiwa KumTag@_---
Hehehe
Hapana , Mimi ni mimiMagayo hio ndio ID yako nyingine auπ
jamaa anafanya utambulisho wa I'd yake kijanja sana
Ngoja nije na suruhishoHujafanikiwa KumTag
Mpaka mod umeshindwa kumtag π@_---