Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
- Thread starter
- #41
OK , fine.Weka humu 🗑️
OK , fine.Weka humu 🗑️
Kuna member anajiita Ayatollah the Bird ni chaka lako lingine au kaiga tu ?Naam! Ayatollah wa JF nakusikiliza mkuu.
Siyo mimi, anajiita hivyo Kwa sababu ananihusudu. Mimi ni rolinmodo wake.Kuna member anajiita Ayatollah the Bird ni chaka lako lingine au kaiga tu ?
Twenty oneHii imekaaje mods ? 👇👇View attachment 3681255
Umenisumbua sana. Matako yakoOK , fine.
Kitumbua kinatengenezwa na mchele mkuu.Mfano Papuchi lugha ya mtaani ni kitumbua , kitumbua kinatengenezwa na ngano = Papuchi tunaweza kuiita "ngano"
Hapana siyo morse code hiyo.Hiyo ni morse code mkuu.
Ni hivi @_---@_---
Mbona mie naweza
Asante kwa masahihisho mkuu .Kitumbua kinatengenezwa na mchele mkuu.
Jaribu tena , umefeli@_---
Mbona mie naweza
Mkuu Ukiongeza __Unamtag Shetani Live🤣@_---
Hili kuna namna inabidi tupewe maelezo ya kina
Ushamnasa nani , maana Mimi maParody nayanasa kwa urahisi na kumjua muhusika.Siyo mimi, anajiita hivyo Kwa sababu ananihusudu. Mimi ni rolinmodo wake.
Umefeli jombiNi hivi @_---
Yu wapi mwanangu wa nguvu Busu la Kenge?Ushamnasa nani , maana Mimi maParody nayanasa kwa urahisi na kumjua muhusika.
Anyway ukiwa maarufu , mtukutu , influential and intelligence lazima watu watakuiga tu utambulisho wako . Kama ilivyo Ronaldo au Messi Kuna Kenge wengi wanajiita Messi na Ronaldo mitandaoni.
Hata Rafiki yako adriz hapa jukwaani yamemkuta kwa vile famous na genius watu wengi wanamuiga kila kitu mfano member Adryz nae kamuiga jina mpka avatar 😂 😆