Duh ! jina la huyu member siwezi kulisoma wala kuliandika .

Tuulize sisi ambao atleast tunajua basics za ujasusi kwenye maswala signal intelligence umuhimu wa Morse code... Kwa Taarifa yako Morse code pia hutumiwa na marubani katika mawasiliano yao . Ko wewe ulie comment hapo juu Namba 12 ujue Morse code sio upuuzi
 
Mi naona upuuzi , Mimi naweza kutumia lugha ya kawaida tu ya Kiswahili ila nikafunga code ambazo mtu yeyote hawezi kufungua .

Watu smart kama Mimi hatuwezi kujihangaisha na kurariri hizo Morse code , nakumbuka kipindi nakua mtaani Mimi na Rafiki yangu tulitengeneza codes zetu za Siri za mawasiliano kwa kiswahili na kingereza watu wakawa hawaelewi
 
Kuna magenious wanaweza ku crack hizo codes zako za kiswahili na huwezi amini nakwambia🫵🫵😂..
 
Ni ngumu kwa sababu codes zangu zinakuwa na formula nyingi .

Mfano Papuchi lugha ya mtaani ni kitumbua , kitumbua kinatengenezwa na ngano = Papuchi tunaweza kuiita "ngano"

Naweza kusema nimekula kumaanisha nimekula papuchi
 
Sawa mdau nakubali 🤣
Mimi na jamaa yangu sababu tulikuwa MaGengis wa mtaani codes zilikuwa zinatumika sana kwenye UGengis wetu .

Mfano mwingine Tsh Mia au namba 100 tulikuwa tunaita "UPatric" tulichukua jina la mchezaji ambaye hajulikani sana alikuwa anaitwa "Patric Mbia " sisi Mbia tukaitoa b ikawa sawa na "Mia" Kisha Mia ndio ikawa Patric then UPatric

Kufungua hio code lazima uwe mfuatiaji wa mpira hata ukiwa mfuatiliaji , kumjua huyo mchezaji ngumu na hata ukimjua ni ngumu kuchekecha na kuSubstitute mpaka kufungua code
 
Back
Top Bottom