Vidoti Sita MategeHii imekaaje mods ? 👇👇View attachment 3681255
Mi naona upuuzi , Mimi naweza kutumia lugha ya kawaida tu ya Kiswahili ila nikafunga code ambazo mtu yeyote hawezi kufungua .Tuulize sisi ambao atleast tunajua basics za ujasusi kwenye maswala signal intelligence umuhimu wa Morse code... Kwa Taarifa yako Morse code pia hutumiwa na marubani katika mawasiliano yao . Ko wewe ulie comment hapo juu Namba 12 ujue Morse code sio upuuzi
Daah wewe msaga sumu umekuna na jina lingine tena..Ni kitu gani ? naomba muongozo
Kuna magenious wanaweza ku crack hizo codes zako za kiswahili na huwezi amini nakwambia🫵🫵😂..Mi naona upuuzi , Mimi naweza kutumia lugha ya kawaida tu ya Kiswahili ila nikafunga code ambazo mtu yeyote hawezi kufungua .
Watu smart kama Mimi hatuwezi kujihangaisha na kurariri hizo Morse code , nakumbuka kipindi nakua mtaani Mimi na Rafiki yangu tulitengeneza codes zetu za Siri za mawasiliano kwa kiswahili na kingereza watu wakawa hawaelewi
Ni mrithi wake tu , ila kwa hakika sio Msagasumu Mwenyewe.Daah wewe msaga sumu umekuna na jina lingine tena..
Na ninyi huko wamewatangazia El nino..Ni mrithi wake tu , ila kwa hakika sio Msagasumu Mwenyewe.
Nimekuja kuchangamsha jukwaani sababu Mimi ni "goat"
Cc : secretarybird from Tehran
Naam! Ayatollah wa JF nakusikiliza mkuu.Ni mrithi wake tu , ila kwa hakika sio Msagasumu Mwenyewe.
Nimekuja kuchangamsha jukwaani sababu Mimi ni "goat"
Cc : secretarybird from Tehran
Zina umuhimu gani , mbona kama upuuzi ?
Ni ngumu kwa sababu codes zangu zinakuwa na formula nyingi .Kuna magenious wanaweza ku crack hizo codes zako za kiswahili na huwezi amini nakwambia🫵🫵😂..
Sawa mdau nakubali 🤣Ni ngumu kwa sababu codes zangu zinakuwa na formula nyingi .
Mfano Papuchi lugha ya mtaani ni kitumbua , kitumbua kinatengenezwa na ngano = Papuchi tunaweza kuiita "ngano"
Naweza kusema nimekula kumaanisha nimekula papuchi
Mimi na jamaa yangu sababu tulikuwa MaGengis wa mtaani codes zilikuwa zinatumika sana kwenye UGengis wetu .Sawa mdau nakubali 🤣
Nashangaa Jf wamewezaji kuruhusu au walizidiwa ?Jina lake huwezi kuli tag..
Ht h mada haina umuhimuKaribia 90% ya wanadamu hatufanyi vitu muhimu .
Hata wewe kuComment humu hakukuwa na umuhimu
Wewe unaingia na kuchangia mada za hovyo zaidi hii .Ht h mada haina umuhimu
Weka humu 🗑️Wewe unaingia na kuchangia mada za hovyo zaidi hii .
Hii mada muhimu sana huenda jamaa ni wake wasiejulikana nitakuwa nimesaidia members wengine