Duh ! jina la huyu member siwezi kulisoma wala kuliandika .

@_---

Hili kuna namna inabidi tupewe maelezo ya kina
 
Siyo mimi, anajiita hivyo Kwa sababu ananihusudu. Mimi ni rolinmodo wake.
Ushamnasa nani , maana Mimi maParody nayanasa kwa urahisi na kumjua muhusika.

Anyway ukiwa maarufu , mtukutu , influential and intelligence lazima watu watakuiga tu utambulisho wako . Kama ilivyo Ronaldo au Messi Kuna Kenge wengi wanajiita Messi na Ronaldo mitandaoni.

Hata Rafiki yako adriz hapa jukwaani yamemkuta kwa vile famous na genius watu wengi wanamuiga kila kitu mfano member Adryz nae kamuiga jina mpka avatar πŸ˜‚ πŸ˜†
 
Yu wapi mwanangu wa nguvu Busu la Kenge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…