Duh kama no kweli Basi Mh Rais Samia chawa wako wamevunja rekodi ya duniašŸ™Œ

Duh kama no kweli Basi Mh Rais Samia chawa wako wamevunja rekodi ya duniašŸ™Œ

Nitakuwa wa kwanza kuzinunua, au zitagawiwa bure?
Watagawa bure kabsa! Nadhani pia Condom zinabadilishwa majina ziitwe Samia Condom kwa ajili ya watu waendelee kuwa wazalendo!
 
2026 utakuwa mwaka mgumu sana kiuchumi.. Tujipange sana maana hali itakuwa mbaya sana
 
Back
Top Bottom