mjanja wa kijiji
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 1,582
- 4,378
Kampeni zilianza soon tu alipoapishwa sijui hajiamini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzetu wanaona ya Jana na Leo,hawaoni ya kesho.2026 utakuwa mwaka mgumu sana kiuchumi.. Tujipange sana maana hali itakuwa mbaya sana
Mm nasubiri boxer, mtajua wenyeweZipo zenye picha ya kasuku, spana etc
Labda tuweke za Mnyikq
Nunua chupi tu yatoshaMm nasubiri boxer, mtajua wenyewe
Utakufa na kihoro mwaka huuSina maelezo mengi habari kwa picha
Tuliyataka wenyewe,kusema Makamu atokee upande WA pili ,kule ambako watu hawatumii akili.Impact imeanza mbona mapema