Duh, kipindi cha michezo east africa radio ni vurugu tupu

Duh, kipindi cha michezo east africa radio ni vurugu tupu

nakisikiliza hapa ni kero aisee haijulikani nani muongozaji nani mchambuzi yaani wanapiga kelele hakuna anayetaka kumsikiliza mwenzake..utasikia Abisai sikiza ngooja ngojaaaa...hapana nisikize kwanza ,huku mweingine naye anaendelea kuongea ya kwake
vuluvuluuuuuuuuuu
Eti vuluvuluu.
 
nakisikiliza hapa sasa hivi leo kiko poa sana kimetulia watu wanapeana nafasi ya kuongea..safi sana
 
hizi redio ni shida leo nimebahatika kusikiliza uchambuzi wa michezo kupitia magic fm mtangazaji anasema anaipa nafasi Simba dhidi ya JKT Ruvu 70% ya kushinda huku akimpa Ruvu asilimia 50 ya kushinda nilishindwa kuelewa.
Wakichambua ligi za ulaya ndo kituko kuchapia majina ya wachezaji na makocha
 
nakisikiliza hapa ni kero aisee haijulikani nani muongozaji nani mchambuzi yaani wanapiga kelele hakuna anayetaka kumsikiliza mwenzake..utasikia Abisai sikiza ngooja ngojaaaa...hapana nisikize kwanza ,huku mweingine naye anaendelea kuongea ya kwake
vuluvuluuuuuuuuuu
Bangi tupu hawa vilaza
 
Wale Madogo pale Magic FM huwa Wanabishana sio Wanachambua.....Mtu pekee ambaye anachambua akiwepo ni Teacher Tigana Lukinje...!
 
nakisikiliza hapa ni kero aisee haijulikani nani muongozaji nani mchambuzi yaani wanapiga kelele hakuna anayetaka kumsikiliza mwenzake..utasikia Abisai sikiza ngooja ngojaaaa...hapana nisikize kwanza ,huku mweingine naye anaendelea kuongea ya kwake
vuluvuluuuuuuuuuu
Fujo za Kucheleweshewa Mishahara tu.
 
Hizi redio zetu ni matatizo, ndio maana waliambiwa wasome Magic walikuwa wanajadili kama ni sahihi Taifa stars kucheza mchezo wa kirafiki na Malawi. Mtangazaji mmoja kwa kujenga hoja akasema Malawi wamefuzu afcon ndio maana rais wa Tsheked alienda kuwapongeza. Hivi unakuwa mtangazaji hata rais wa Malawi unamchanganya na rais wa nchi nyingine bila aibu lakini cha ajabu hakuna hata mtangazaji mwenzake aliyemkosoa.
Pia kipindi cha michezo cha clouds walikuwa wanazungumzia juu ya Carlos Tevez kuondoka Bocca Junior lakini wakaenda mbali na kuzungumzia historia yake ikiwemo kitongoji alichotoka. Kilichoniacha hoi ni pale mtangazi mmojawapo aliposema kitongoji alichotok Tevez ni cha kimasikini sana kiasi mwaka 1974 Argentina walipoandaa kombe la dunua walikiziba cha ajabu Argentina waliandaa kombe la dunia mwka 1978 na sio 74 lakini wenzake walimsikiliza bila kumkosoa.
 
hivi hawa watangazaji wetu wamichezo kipato chao hua kinatembea vipi? kama nini niache toroli langu nikajaribu bahati yangu na mimi mana ni vilaza wakutupwa naamini nawaburura vizuri tu.
 
hivi hawa watangazaji wetu wamichezo kipato chao hua kinatembea vipi? kama nini niache toroli langu nikajaribu bahati yangu na mimi mana ni vilaza wakutupwa naamini nawaburura vizuri tu.
[emoji23][emoji23]Una lafudhi na sauti inayoweza kusikilizwa?..sio unasauti kama umemeza chura na lafudhi ya kisukuma..
 
Leo kupitia kipind cha michezo cha WASAFI FM cha asubuhi

Mtanagazaji wa kipind hicho PAUL MKAI amesikika akisema maneno haya

"PSG kumsajiri mchezaji wa serie A ambaye n golikipa Bora wa msimu ujao wa ligi ya serie A"

nimejiuliza maswali mengi sana juu ya hawa watanagazaj wetu mchezaj bora wa msimu ujao wakat hata hajacheza huo msimu ujao lakn mchezaj mwenyewe anaenda league 1 ya France Sasa atakuwaje mchezaj bora wa serie A wakat anaenda league 1 msimu ujao

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sio tu kipindi cha michezo, Mimi naona vipindi vyao vyote ispokua hichi kipya cha Asubuhi (Super breakfast) Menu Mpya Town, walichowachukua wakongwe wa utangazaji, kina Boby, Big Chris na Evans.. Ndo kipindi chenye utulivu Redio nzima.

Ukija kwenye Luninga yao, kama Friday night live tangu aondoke Sam imepoteza mvuto kabisaa, kale kajamaa (Bill Sepewisee) amekua na kelele zisizoburudisha kabisa Yani. ANAKERA
 
Vipindi vingi vya michezo vya kwenye redio ni vya hovyo tu.
 
Back
Top Bottom