Eti vuluvuluu.nakisikiliza hapa ni kero aisee haijulikani nani muongozaji nani mchambuzi yaani wanapiga kelele hakuna anayetaka kumsikiliza mwenzake..utasikia Abisai sikiza ngooja ngojaaaa...hapana nisikize kwanza ,huku mweingine naye anaendelea kuongea ya kwake
vuluvuluuuuuuuuuu
Wakichambua ligi za ulaya ndo kituko kuchapia majina ya wachezaji na makochahizi redio ni shida leo nimebahatika kusikiliza uchambuzi wa michezo kupitia magic fm mtangazaji anasema anaipa nafasi Simba dhidi ya JKT Ruvu 70% ya kushinda huku akimpa Ruvu asilimia 50 ya kushinda nilishindwa kuelewa.
Watakuwa wamesoma thread yakonakisikiliza hapa sasa hivi leo kiko poa sana kimetulia watu wanapeana nafasi ya kuongea..safi sana
I hope so hata content yao ilikuwa poa sana haswa interview ya tiborohwa kama aliyesema yule mzee ni kweli basi yanga kuna shida kubwa sanaWatakuwa wamesoma thread yako
Bangi tupu hawa vilazanakisikiliza hapa ni kero aisee haijulikani nani muongozaji nani mchambuzi yaani wanapiga kelele hakuna anayetaka kumsikiliza mwenzake..utasikia Abisai sikiza ngooja ngojaaaa...hapana nisikize kwanza ,huku mweingine naye anaendelea kuongea ya kwake
vuluvuluuuuuuuuuu
Fujo za Kucheleweshewa Mishahara tu.nakisikiliza hapa ni kero aisee haijulikani nani muongozaji nani mchambuzi yaani wanapiga kelele hakuna anayetaka kumsikiliza mwenzake..utasikia Abisai sikiza ngooja ngojaaaa...hapana nisikize kwanza ,huku mweingine naye anaendelea kuongea ya kwake
vuluvuluuuuuuuuuu
[emoji23][emoji23]Una lafudhi na sauti inayoweza kusikilizwa?..sio unasauti kama umemeza chura na lafudhi ya kisukuma..hivi hawa watangazaji wetu wamichezo kipato chao hua kinatembea vipi? kama nini niache toroli langu nikajaribu bahati yangu na mimi mana ni vilaza wakutupwa naamini nawaburura vizuri tu.