Duh, Lissu amenichekesha sana, nimecheka mno! Ebu Tazama video hii

Duh, Lissu amenichekesha sana, nimecheka mno! Ebu Tazama video hii

Hata Lisu mwenyewe akiwa raisi ataweka mabango hadi Singida vijijini kule kwetu.
Hata yeye kwa sasa huwa anaimbwa,lakini halalamiki.
Kenya wakiwaweka mabango wa Ruto,GENz watapita nayo
 
Back
Top Bottom