Duh, Lissu amenichekesha sana, nimecheka mno! Ebu Tazama video hii

Duh, Lissu amenichekesha sana, nimecheka mno! Ebu Tazama video hii

Kama huyo mama yao anafanya kazi nzuri itajionyesha na watu humu watatoa pongezi.

Ukiona PR nyingi ujue hakuna kitu.
 
Ukiona mtu anatangazwa sana kwa "mazuri" alioyafanya, ujue hata ntangazaji nae HAONI cha kusifia, kama vipo vingejitangaza vyenyewe, you don't need to do all of that.
 
Back
Top Bottom