Fabolous
JF-Expert Member
- Sep 23, 2010
- 2,993
- 3,747
Kwa akili kama hizi Kenya itaendelea kua juu ya Tanzania kiuchumi.Hata Lisu mwenyewe akiwa raisi ataweka mabango hadi Singida vijijini kule kwetu.
Hata yeye kwa sasa huwa anaimbwa,lakini halalamiki.
Kenya wakiwaweka mabango wa Ruto,GENz watapita nayo