Duh! Nini cha Wakenya kujifunza kuhusu hili la Wabongo kunyang'anywa ndege kwa ajili ya deni

Uhuru Kenyatta kama ni msikivu wa kusikiliza wataalam na hataki habari za shortcuts za kukataa tender process na kuingiza siasa kwenye airlines Kenya haitapata aibu hii.

Tatizo letu Tanzania kwa sasa ni huyu rais anayetaka kufanya kila kitu yeye, anafanya kila kitu kwa pupa kiasi hata akitaka kufanya jambo zuri analifanya kwa pupa linakuwa baya.

Kwa sasa Tanzania uchumi unaanguka na central bank imepunguza interest rate kutoka 16% mpaka kufikia 9%.

Magufuli alibana mzunguko wa fedha ovyo sana, akifikiri anakomoa wabadhirifu,kumbe ni sawa unampa mgonjwa dawa kali sana ya kuua virusi mpaka dawa inatakakuua na mgonjwa mwenyewe.

Mimi sitaki ujinga wa kushabikia Tanzania/ Kenya.

Nataka kusema ukweli tu.

Rais Magufuli anaiharibu nchi kwa ubabe wake. Ameingilia tender process kwa kisingizio cha kuondoa rushwa na ukiritimba, matokeo yake ndiyo haya.

The road to hell is paved with good intentions. The law of unintended consequences applies most charitably when it is least desired.
 
Lakini deni liko palepale , watumishi wa Tanzania msitegemee nyongeza ya mshahara pesa zote zinaenda kulipa madeni ya ndege
Habari ya kununua ndege hizi ilikuwa ni uamuzi wa kijinga kabisa.

Ndege si priority kubwa ya kiuchumi itakayoweza kuzalisha na ku snowball uchumi hivyo.Airlines nyingi zinaendeshwa kwa faida ya very low margin, ndiyo maana nchi kama Marekani airlines zinakuwa very inventive kuweka ma luggage fees etc angalau zipate pesa kidogo zaidi.

Sisi tunaona midege fahari.

Akili za kimasikini sana. This is something you do after you make money, not when you want to make money.
 
Aligoma! ila this Tutampima kibabe lazima tujiridhishe! Usikute yuko under influence!
 
Kwa nini na wewe hukuchukua fomu ugombee kuwa Rais wa Tanzania? Sisi hatupendi kusoma daima jinsi usivyompenda Rais wetu.
 
lol!! zile bombadier zao uchwara? Geza na wenzake bila shaka watapita hapa kimya kimya....niliwaambia ukiona cha mwenzio chanyolewa, tia chako maji...
Pimbi kweli wewe na MK aka shelawadu wa Jubilee. Kwanza tunajua kuwa Jubilee na Chadema mmeungana kupambana na Magufuli pamoja na kujalibu kuhujumu mafanikio ya Tanzania. Swala la Kenya kuhujumu mafanikio ya TZ kupitia viongozi nilamuda mrefu. Mme mkuwa kipindi chanyuma mkijipenyeza kwa wanasiasa Wa CCM ilikufanikisha hill. Ila kutokana na Magufuli kutimua na kuwaweka kando wana CCM wasio wazalendo mmeamia Chadema. Toka Brookside ipewe taarifa na serikali ya Magufuli yakuludisha mitambo iliyo ngoa kwenye kiwanda cha maziwa Arusha na YANA kwenye kiwanda cha General Tyre imekuwa taabu kweli kwa Uhuru. Sasa wewe kuja na ushelawadu Wa Tindu Lissu humu unaonyesha jinsi akili yako niyakuvuka Barabara. Kwanza Canada hakuna kampuni kama hiyo.
 
Na kenya mutakesha sana.... nchi yetu hamuingii.. mlitaka sana tuungane tufunguliane milango ya biashara...munazidi kutunyemelea tu lakini wapi... vipi bomba la mafuta bado inawauma eeh?
 
Kwa nini na wewe hukuchukua fomu ugombee kuwa Rais wa Tanzania? Sisi hatupendi kusoma daima jinsi usivyompenda Rais wetu.
Kwa nini nigombee gunia la chawa?

Usichopenda au usichopenda si hoja.

Nisichopenda na ninachopenda si hoja

Hoja ni ukweli.

Na ukweli ni kwamba Magufuli anaharibu uchumi, anaharibu siasa, anaiharibu Tanzania.

Na huwezi kubishia hilo kwa hoja.

Rais gani anaita mawaziri aliowateua yeye mwenyewe wapumbavu?

Kama mawaziri wake aliowateua yeye mwenyewe ni wapumbavu, basi yeye aliyewateua ni mpumbavu zaidi.

Ila wewe una mahaba ya na huyu mpumbavu hata huwezi kuona ukweli huo.
 
Hali ya uchumi Tanzania ni mbaya,mnachotakiwa kujifunza ni kwamba watu type ya Raila msije kuthubutu kuwapa nchi mtajuta sana,last week tuliingia top 3 ya UNAHAPPIEST COUNTRIES IN THE WORLD,ni kweli kabisa tunajisifu amani lakini watanzania hawana amani ya moyo,hapo bado hatujapigwa kesi za makinikia,jesus christ halafu bado watu wanadai atawale milele.kha.
 
Lakini deni liko palepale , watumishi wa Tanzania msitegemee nyongeza ya mshahara pesa zote zinaenda kulipa madeni ya ndege
Hadi wamachinga kuanza kutumia machine za EFD soon...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…