Nani mjanja ? Aliye pimwa mkojo au aliyekataa kutoa mkojo.Kama yamefikia haya ya kunyang'anywa hadi ndege halafu Odinga ana uswahiba huko kwenu, tukimchekea naona itakua yale ya birds of a feather flock together, au you can judge a person by his friends or people he/she associates with.
Lakini labda huyu Tundu Lissu analipuka bila kuujua ukweli, vipi si mlimpima mkojo??
Good morning hater,Ndege zenyewe kama nyumba ya kuku vile. Kama zile za World War II
Ndege imeachiwa., deni dogo hilo tunawalipa. Kwa sasa tuna pesa. Tunajenga hadi Reli ya Kisiasa kwa pesa yetu, sembuse hilo?I think tuna/tajifunza "dont count your chicks before they hatch" walijidai watapiga KQ sasa ni aibu na povu all over
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikupatie mmoja? Ni muingereza, inahitaji kumuamini tu.. Nilishafanya nae hizi mambo 2015 ila nikaja nikaacha. Trading ni kama kamari tu, very addictive..Aisei!! Huu ulimwengu wako wa online trading unaonekana unahitaji elimu ya kiaina, nimejaribu kufuata hili bango lako nikaishiwa kulewa akili.
Are there some companies/individuals that can do these stuffs on ones behalf, yaani badala ya kuumiza akili nampa mtu vipesa vyangu apambane yeye lakini tunaingia kwenye makubaliano. Maana hizi bonds za serikali hela yake ndogo na inachelewa sana.
hata baba yako akiwa maskini utampenda baba wa Jirani yako kwa kuwa Ni tajiri.Kiuchumi, kisiasa na kisheria Kenya iko mbele sana, Tanzania bado tupo na blah blah tu. Hakuna cha maana cha kujifunza hapo.
Mkuu kuna uzi mmoja ulianzishwaga humu kuhimiza watu kujiingiza kwenye hii biashara, niliwaambia tu maneno yasiwavutie, this is very risky investment..Sidhani.
The returns, if you know what you are doing, are so good that it doesn't make sense to do it for someone else.
Plus it does not always go well.I just lost $23,000 last Thursday. But I don't sweat it because I know what I did wrong and I know how to put $2,500 and turn it into another $25,000 in 2 weeks.I just have to stick with forex options, read about direction (the Yen is giving very good returns now) and I can even relax my risk aversion a bit and go in at $80, that means if I put $2,000 down and use it all to buy $80 dollar contracts (they have 80% chance of maturing to $100 and get you $100 each and 20% chance of bombing and getting you $0) so if I put down $2,000 at $80 a piece 20 minutes to time, in 20 minutes I take a 1/5 or 20% risk of losing 2,000 and 4/5 or 80% chance of making ($2000/80 ) x 100. Thats $500 profit in 20 minutes.
You can do that 24 times a day, or even more.
Wakenya msipoteze muda kujifunza kwa Tanzania, mtapotea. Mtakuwa mnarudi nyuma badala ya kusonga mbele.
Jifunzeni kwa nchi kama South Africa na Ghana.
Msaliti ni yule aliyesababisha ndege kuzuiwa huko kwa hio mlitaka mpige kimya mpaka siku ya mnada sio afadhali ya lisu ametujuza kwamba tunadiwa lisu ni mzalendo mungu ampe miaka mingiMsisumbuke na vuvuzela Lissu atawaingiza kingi huyo ni msaliti za nchi yetu!
Mkuu kua na roho mbaya ni hulka ya mtu sio watz wote...kama wengi wao uliokutana nao wana roho mbaya basi ni wao..naamini hata hapo Kajiado wapo watu wenye roho mbaya na wakati mwingine ukijiuliza hupati jibu ni kwa nini...ubinadamu kazi sanaZinaendana kama kawaida na, wataisoma namba! Afu hawa jamaa wana roho mbaya sana! Hehe watz bana. Badilikeni.😀
Hapo ndipo kuna tatizo! Ni bora tukajikita kwenye kasoro ndogo ndogo kama hizi zinazojitokeza badala ya kughairi mpango wa ununuzi wa ndege!Huyu Jamaa analalamika serikali kununua ndege, wakati hazipo walikuwa wanalalamika kwanini hazipo.
Arguing with these people is a waste of time
Kweli kabisa.Mkuu kua na roho mbaya ni hulka ya mtu sio watz wote...kama wengi wao uliokutana nao wana roho mbaya basi ni wao..naamini hata hapo Kajiado wapo watu wenye roho mbaya na wakati mwingine ukijiuliza hupati jibu ni kwa nini...ubinadamu kazi sana
Hapo ndipo kuna tatizo! Ni bora tukajikita kwenye kasoro ndogo ndogo kama hizi zinazojitokeza badala ya kughairi mpango wa ununuzi wa ndege!
Honestly kilichotokea sio kitu kizuri, serikali inapaswa kuchukua hatua za haraka, na kuondoa mianya ya namna hiyo kwenye mambo mengine!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna wakati huwa upo balanced sio kutetea kila uovu.
Hapa umeiweka sawa.
ndugu huwezi kulinganisha hizi ndege na madude yale ya SGR yenu ya miaka ya 1943duh na ndege hizi mbona zafanana na mitungi ya chang'aa?
Linganisha ndege zetu na zenu, treni zetu na zenu.ndugu huwezi kulinganisha hizi ndege na madude yale ya SGR yenu ya miaka ya 1943
unalinganisha ndege na treni...mpumbavu...kuja nai uone zile ndege tunazotumia kisha uangalie hayp mitungi yenu...ndugu huwezi kulinganisha hizi ndege na madude yale ya SGR yenu ya miaka ya 1943
Kwani ndugu wewe ulipolinganisha ndege na mitungi ya chang'aa ilikuwa vipi?kazi kwenu la sivyo na imekula kwenuLinganisha ndege zetu na zenu, treni zetu na zenu.
Treni na ndege unalinganisha kivipi?