Kaisari
JF-Expert Member
- Nov 13, 2012
- 3,636
- 3,042
Nani mjanja ? Aliye pimwa mkojo au aliyekataa kutoa mkojo.Kama yamefikia haya ya kunyang'anywa hadi ndege halafu Odinga ana uswahiba huko kwenu, tukimchekea naona itakua yale ya birds of a feather flock together, au you can judge a person by his friends or people he/she associates with.
Lakini labda huyu Tundu Lissu analipuka bila kuujua ukweli, vipi si mlimpima mkojo??
Zile testtube bado zipo kavu pale zinasubiri mkojo.