Duh! Rais Samia amkataa mama mnyonge aliyetaka kumlilia kama Magufuli. Nenda kakae…

Duh! Rais Samia amkataa mama mnyonge aliyetaka kumlilia kama Magufuli. Nenda kakae…

Wanasiasa (ccm) ndio wanazibaka hizi kesi kabla hata hazijaanza kusikilizwa mahakamani!
Mnaanza kuwapangia mahakimu/majaji aina ya hukumu mnazotaka nyie kwa kuwaonea watu wasio na hatia!
Haki hapo itapatikana wapi. acheni kutuzuga kabisa!
Kesi ya Mbowe inasikilizwa mahakamani, Nani anabaka hii kesi?
 
Sasa afanye utaratibu rasmi akamuone kwa njia zinazotakiwa ofisini kwake ila sio maigizo ya Majukwaani,Rais atahudumia wangapi Kwa staili kama hiyo?
Nimekwambia kama hayajakukuta huwezi kuelewa, bureaucracy ya nchi hii mpaka umfikie Raise ni ngumu,watendaji huku chini ni miungu watu,Rushwa imetawala Kwa kiasi kikubwa,kifupi nchi hii haki Kwa wasio nacho hakuna
 
Raisi anamhudumia nani kwa njia hizo sahihi za kwenda kumuona mtanzania wa kawaida hana namna yoyote ya kufikisha ishu yake kwa Raisi directly mbali na hiyo
Zipo nyingi tuu,je kabla ya hapo kapitia channel nyingine za kiungozi ikashindikana?
 
Mkuu ivi unaakili kwel, unafkir mpaka anachukua maamuz ya kumfata rais hujui kwamba hao alioelekezwa hawajamsaidia wanazid kula tu kwa kamba zao ?!
Pumbav kabsa!!
Wewe una akili kweli? Umeshajadiliana nae ukakuta ameshindwa mkoani,wizarani, kwenye vyombo vya habari nk?
 
Nina ushahidi wa waathirika wa utawala dhalmu wengi tu na ni watu wa karibu,wameporwa haki yao na watu wanaoshirikiana na viongozi wa gavamenti
Wamefuata taratibu zote kuanzia hapo mtaani,Wilaya I,mkoani hadi wizarani ikashindikana? Kwa Rais au Waziri Mkuu ni hatua za mwisho.
 
Zipo nyingi tuu,je kabla ya hapo kapitia channel nyingine za kiungozi ikash
Zipo nyingi tuu,je kabla ya hapo kapitia channel nyingine za kiungozi ikashindikana?

indikana?
We unadhani hajapitia chanel zingine yaani kapata tu ishu yake nakuanza kumtafuta Raisi sasa hapo angesemaje hatendewi haki? take note kuwa huyo mama ni mtu mzima na mwenye akili timamu sana yaani anajua kuwa hiyo siku ni ya mahakama na kuwa Jaji mkuu atakuwepo pamoja na Raisi shortly mihimili yote itakuwepo na alichokuwa anakitaka sio Raisi aamue swala lake bali alitaka Raisi alitilie mkazo kwa kutoa wito kwa wahusika kitu ambacho kilikuwa chepesi sana kufanya yaani ni kusema tu "Jaji mkuu au watendajin wa mahakama swala lenu hili ebu msikilizeni huyo mama" yaani nakwambia for that simple act bi mkubwa angeondoka na kijiji hata waandishi wa habari wasingekuwa na kazi kubwa ya kutafuta highlights za ile event zinazompoint Hangaya coz as the matter of fact hamna cha maaana alifanya jana
 
Kwani alienda kusikiliza kesi au kuwa mgeni Rasmi wa siku ya sheria ?

Narudia kusema kama una shida ya kuondoka na kijiji ni wewe,Rais hayuko kusikiliza individual problems za watu bali jamii kwa ujumla..

Ukiwa na personal issues nenda kwenye mamlaka husika,sio kazi ya Rais hiyo.
 
Sio kazi ya Rais kusikiliza individual problems,Rais yuko sahihi.
Anaejua kuwa kazi ya Raisi sio kusettle individual issues ni wewe na sio huyo mama kote yeye na common sense ni kuwa ukishindwa kupata msaada kwa mdogo nenda kwa mkubwa kwani wewe hujui kuwa kuna ubadhilifu kwenye mahakama na watu wanapoteza haki zao! Bi Mkubwa amezingua kwanza ange-address swala la yule mama kwa wahusika na ndo aseme sasa kuwa yeye hausiki na individual issues as call itwhich is non sense kiongozi yuko held countable for each any every person under his dominion
 
Wakristu wanayo mifano kibao ya jinsi Yesu alivyokuwa anakuwa interrupted na watu Wenye shida mbalimbali na bado aliacha kwa muda alichokuwa akikifanya na kuamua kufanya alichoombwa. Uongozi tukijifunza Kutoka Kwa Yesu Ni HUDUMA( UTUMWA) na sio kunyenyekewa(UBWANA). Ikiwa Yesu ambaye ni Mungu na mwanadamu alijinyenyekesha, huyu wa kwetu ambaye hata cheo cha Malaika hana anatoa wapi huo ukubwa wa kuonekana kuingiliwa Katikati ya Shughuli zake Ni Kero?
Wakristo......
 
Back
Top Bottom