Bekabundime
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 2,017
- 1,733
Duuu kweli hapo mkuu wa nchi amechemka yaani unashindwaje kumsikiliza aliekuweka hapo,na pia kama ilikuwa ni kwa sababu anatoa hotuba ni kwanini asimwambie subiri nimalize takuita.Imenisikitisha sana!! Lugha!
Kesi ya Mbowe inasikilizwa mahakamani, Nani anabaka hii kesi?Wanasiasa (ccm) ndio wanazibaka hizi kesi kabla hata hazijaanza kusikilizwa mahakamani!
Mnaanza kuwapangia mahakimu/majaji aina ya hukumu mnazotaka nyie kwa kuwaonea watu wasio na hatia!
Haki hapo itapatikana wapi. acheni kutuzuga kabisa!
Maliza hangover na bangi kwanza kisha urejee hapa tuzungumzeYupi alishakua rais wawanyonge ili tufanye ulinganisho na huyu wasasa?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nimekwambia kama hayajakukuta huwezi kuelewa, bureaucracy ya nchi hii mpaka umfikie Raise ni ngumu,watendaji huku chini ni miungu watu,Rushwa imetawala Kwa kiasi kikubwa,kifupi nchi hii haki Kwa wasio nacho hakunaSasa afanye utaratibu rasmi akamuone kwa njia zinazotakiwa ofisini kwake ila sio maigizo ya Majukwaani,Rais atahudumia wangapi Kwa staili kama hiyo?
Wewe yamekukuta?Nimekwambia kama hayajakukuta huwezi kuelewa, bureaucracy ya nchi hii mpaka umfikie Raise ni ngumu,watendaji huku chini ni miungu watu,Rushwa imetawala Kwa kiasi kikubwa,kifupi nchi hii haki Kwa wasio nacho hakuna
Zipo nyingi tuu,je kabla ya hapo kapitia channel nyingine za kiungozi ikashindikana?Raisi anamhudumia nani kwa njia hizo sahihi za kwenda kumuona mtanzania wa kawaida hana namna yoyote ya kufikisha ishu yake kwa Raisi directly mbali na hiyo
Wewe una akili kweli? Umeshajadiliana nae ukakuta ameshindwa mkoani,wizarani, kwenye vyombo vya habari nk?Mkuu ivi unaakili kwel, unafkir mpaka anachukua maamuz ya kumfata rais hujui kwamba hao alioelekezwa hawajamsaidia wanazid kula tu kwa kamba zao ?!
Pumbav kabsa!!
Nina ushahidi wa waathirika wa utawala dhalmu wengi tu na ni watu wa karibu,wameporwa haki yao na watu wanaoshirikiana na viongozi wa gavamentiWewe yamekukuta?
Wamefuata taratibu zote kuanzia hapo mtaani,Wilaya I,mkoani hadi wizarani ikashindikana? Kwa Rais au Waziri Mkuu ni hatua za mwisho.Nina ushahidi wa waathirika wa utawala dhalmu wengi tu na ni watu wa karibu,wameporwa haki yao na watu wanaoshirikiana na viongozi wa gavamenti
Mkuu tuishie hapo,siku yakikukuta utaelewa vizuri......Kwa hapa nitakuwa nampigia mbuzi gitaaWamefuata taratibu zote kuanzia hapo mtaani,Wilaya I,mkoani hadi wizarani ikashindikana? Kwa Rais au Waziri Mkuu ni hatua za mwisho.
We unadhani hajapitia chanel zingine yaani kapata tu ishu yake nakuanza kumtafuta Raisi sasa hapo angesemaje hatendewi haki? take note kuwa huyo mama ni mtu mzima na mwenye akili timamu sana yaani anajua kuwa hiyo siku ni ya mahakama na kuwa Jaji mkuu atakuwepo pamoja na Raisi shortly mihimili yote itakuwepo na alichokuwa anakitaka sio Raisi aamue swala lake bali alitaka Raisi alitilie mkazo kwa kutoa wito kwa wahusika kitu ambacho kilikuwa chepesi sana kufanya yaani ni kusema tu "Jaji mkuu au watendajin wa mahakama swala lenu hili ebu msikilizeni huyo mama" yaani nakwambia for that simple act bi mkubwa angeondoka na kijiji hata waandishi wa habari wasingekuwa na kazi kubwa ya kutafuta highlights za ile event zinazompoint Hangaya coz as the matter of fact hamna cha maaana alifanya janaZipo nyingi tuu,je kabla ya hapo kapitia channel nyingine za kiungozi ikash
Zipo nyingi tuu,je kabla ya hapo kapitia channel nyingine za kiungozi ikashindikana?
indikana?
Kwani alienda kusikiliza kesi au kuwa mgeni Rasmi wa siku ya sheria ?We unadhani hajapitia chanel zingine yaani kapata tu ishu yake nakuanza kumtafuta Raisi sasa hapo angesemaje hatendewi haki? take note kuwa huyo mama ni mtu mzima na mwenye akili timamu sana yaani anajua kuwa hiyo siku ni ya mahakama na kuwa Jaji mkuu atakuwepo pamoja na Raisi shortly mihimili yote itakuwepo na alichokuwa anakitaka sio Raisi aamue swala lake bali alitaka Raisi alitilie mkazo kwa kutoa wito kwa wahusika kitu ambacho kilikuwa chepesi sana kufanya yaani ni kusema tu "Jaji mkuu au watendajin wa mahakama swala lenu hili ebu msikilizeni huyo mama" yaani nakwambia for that simple act bi mkubwa angeondoka na kijiji hata waandishi wa habari wasingekuwa na kazi kubwa ya kutafuta highlights za ile event zinazompoint Hangaya coz as the matter of fact hamna cha maaana alifanya jana
Wewe yamekukuta?Mkuu tuishie hapo,siku yakikukuta utaelewa vizuri......Kwa hapa nitakuwa nampigia mbuzi gitaa
Sio kazi ya Rais kusikiliza individual problems,Rais yuko sahihi.Huko kwa wenzetu wanasema '' jenga taasisi imara na sio viongozi imara''
Viongozi wanapita lakini taasisi zipo kwa kila kizazi.
Anaejua kuwa kazi ya Raisi sio kusettle individual issues ni wewe na sio huyo mama kote yeye na common sense ni kuwa ukishindwa kupata msaada kwa mdogo nenda kwa mkubwa kwani wewe hujui kuwa kuna ubadhilifu kwenye mahakama na watu wanapoteza haki zao! Bi Mkubwa amezingua kwanza ange-address swala la yule mama kwa wahusika na ndo aseme sasa kuwa yeye hausiki na individual issues as call itwhich is non sense kiongozi yuko held countable for each any every person under his dominionSio kazi ya Rais kusikiliza individual problems,Rais yuko sahihi.
Wakristo......Wakristu wanayo mifano kibao ya jinsi Yesu alivyokuwa anakuwa interrupted na watu Wenye shida mbalimbali na bado aliacha kwa muda alichokuwa akikifanya na kuamua kufanya alichoombwa. Uongozi tukijifunza Kutoka Kwa Yesu Ni HUDUMA( UTUMWA) na sio kunyenyekewa(UBWANA). Ikiwa Yesu ambaye ni Mungu na mwanadamu alijinyenyekesha, huyu wa kwetu ambaye hata cheo cha Malaika hana anatoa wapi huo ukubwa wa kuonekana kuingiliwa Katikati ya Shughuli zake Ni Kero?
Hakuna sinema hapo....kila mtu akitaka kulalamika kwa Rais itamchukua mwaka mzima kusikiliza!!...Ukitaka ujue roho mbaya ya mwanamke awe na; 1. Pesa/ Mali
2. Wadhifa/Cheo