Duh! Rais Samia amkataa mama mnyonge aliyetaka kumlilia kama Magufuli. Nenda kakae…

Endeleeeni kushabikia upuuz wenu huo..siku yakikukutaa ndo utataman na ww kwenda kwa mwenye mamlaka ya ju..ushezi wa ushabik unamaliza wengi..kama nyie wapuuzi puuzi wa humu jf
Ataweza kushughulikia wangapi kwa namna ya mmoja mmoja adi awamalize? Si ndio maana anaagiza mamlaka za chini zilizopewa dhamana
 
Maadamu waandishi wa habari wameweza kuona tukio hili na kulirekodi, kazi kwenu mhimili wa 'nne' muende kumhoji kwa kina shida za mama huyu ili vyombo vinavyohisika pamoja na taasisi ya urais ifahamu matatizo ya watanzania.

Media House vyombo vya habari Tanzania msijiegemeze tu kuwahoji watu maarufu tu au ma celebrity , social influencer Kiki, zao au scandal zao na hili la mama huyu mlifuatilie ifahamike shida ni nini.

03 February 2022

Mapya yaibuka sakata la mama aliyeibuka akitaka kumpa bahasha Rais Samia kwenye wiki ya sheria

Jeshi la polisi limefanya uchunguzi na kubainisha kuwa Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Veronica Alex Rafael, ambaye alijitokeza na bahasha akijaribu kumpa Rais Samia Jukwaa kuu kwenye maadhimisho ya wiki ya Mahakama iliyofanyika Tarehe 2, Februari 2022, imebainika kuwa alifukuzwa kazi kwenye hospitali a Mirembe mwaka 2021 na hivyo alimdanganya rais Samia.
Source : mwananchi digital
 
That isn’t the point. Hata yeye hakutani na watu wa kawaida kila siku. Anapokuwa available haidhuru kuwasikiliza hao watu na kuziagiza mamlaka za chini kushughulikia kero zao. Kama, wakati wa campaign za uchaguzi, waliweza kwenda kila kona ya nchi kuwaomba hao walalahoi wawachague, hawana sababu ya kukataa kusikiliza kero za wananchi ambao wamekosa mtu (huko chini) wa kutatua kero zao.

Kama wao ni wakubwa mno kuongea na watu wa kawaida, basi wawe wanawatuma tu wasaidizi wao kwenda kwa wananchi kuwaombea kura wakati wa uchaguzi.
 
Pulchra Animo
 
Nimependa Sana hii, haya maigizo ya kijinga ifike muda tuyapuuze yanaleta unafiki na utwana kwa viongozi wetu
Omba MUNGU yasikukute, Duniani hakuna haki.Usichukulie kila kitu juu juu, Jitahidi uwe Mtu wa speculation.
 
Acheni kuudanganya uma. Rais alimwambia huyo mama akae lakini atoe malalamiko kwa wasaidizi wake yatamfikia.
 
Sasa Polisi wameitisha press conference ili iweje? Hii ni tabia ya kikandamizaji. Jeshi la Polisi halikuwa na sababu yoyote ya kutoa hii kauli yao ya upande mmoja kwenye vyombo vya habari. Tulichokiona hiyo siku ya siku ni kwamba Rais hakutaka hata kusikiliza shida yake huyo mama. Kauli pekee aliyofanikiwa kuitoa huyo mama kabla hajapewa amri ya kukaa chini ni kuomba atendewe haki.

Jukwaa la huyo mama kueleza her side of the story liko wapi?
 
Maadamu waandishi wa habari wameweza kuona tukio hili na kulirekodi, kazi kwenu mhimili wa 'nne' muende kumhoji kwa kina shida za mama huyu ili vyombo vinavyohisika pamoja na taasisi ya urais ifahamu matatizo ya watanzania.

Media House vyombo vya habari Tanzania msijiegemeze tu kuwahoji watu maarufu tu au ma celebrity , social influencer Kiki, zao au scandal zao na hili la mama huyu mlifuatilie ifahamike shida ni nini.
Hawawezi!
 
Model ndio kitu gani kwanza ?!😢😢😢😢
Sio mfano ambao ni wakufuatw n marais wote, Zanzibar ilivyo ni rahisi kwa rais kupita maeneo yote na kusikiliza kero karibu zote, tofuti na bara, ambapo mkoa mmoja tu ni kimbembe..dawa ni kutengeneza mifumo na kuiimarisha, au labda afanya kwa show off
 
Ataweza kushughulikia wangapi kwa namna ya mmoja mmoja adi awamalize? Si ndio maana anaagiza mamlaka za chini zilizopewa dhamana
Ni mara ngap mamlaka za chini zinafeli kutoa haki sweet16!! Hujui kuna uozoo kwenye hizo mamlaka mama!! Yakikukuta ndo utajua mama yangu..we tulia tu! Kiongoz bora ni yule anajali maslah ya wanyonge wasiokuwa na sauti wala mtu wakuwanenea..ww kama kiongoz ndo sauti yao na wakuwanenea.
 
Hivi siku raisi akisema mwananchi yoyote mwenye tatizo aje anione, anaweza kuchukua siku ngapi kuwasikiliza? na vipi swala la utawala wa sheria litakuaje?
 
Rais anashugulika na bifu za Wasafi na Konde boy![emoji1787]
I know... halafu akasema ni Rais wa wanyonge...

hawajui hata maana yake ni nini kuwa Rais wa wanyonge

kuna mnyonge ana simu ya Rais akidhulumiwa anapiga na kutatuliwa shida yake kama Konde Boy na Wasafi ?
 
Ni mara ngap mamlaka za chini zinafeli kutoa haki sweet16!! Hujui kuna uozoo kwenye hizo mamlaka mama!! Yakikukuta ndo utajua mama yangu..we tulia tu! Kiongoz bora ni yule anajali maslah ya wanyonge wasiokuwa na sauti wala mtu wakuwanenea..ww kama kiongoz ndo sauti yao na wakuwanenea.
Mamlaka za chini zinaanzia na kuishia wapi?
 
That isn’t the point. Hata yeye hakutani na watu wa kawaida kila siku. Anapokuwa available haidhuru kuwasikiliza hao watu na kuziagiza mamlaka za chini kushughulikia kero zao. Kama, wakati wa campaign za uchaguzi, waliweza kwenda kila kona ya nchi kuwaomba hao walalahoi wawachague, hawana sababu ya kukataa kusikiliza kero za wananchi ambao wamekosa mtu (huko chini) wa kutatua kero zao.

Kama wao ni wakubwa mno kuongea na watu wa kawaida, basi wawe wanawatuma tu wasaidizi wao kwenda kwa wananchi kuwaombea kura wakati wa uchaguzi.
Kuna haja gani ya kuwa na watu huko chini wanaolipwa mishahara kwa kodi za raia kutatua kero za watu ikiwa Rais ndiye anafanya hiyo kazi?
Unaelewa majukumu ya Rais na kwa nini kuna mawaziri, manaibu waziri, RC, DC, DED, Mwenyekiti wa Halamashauri, Wakuu wa Idara, mwenyekiti wa kijiji?
 
Rushwa ni adui wa haki…

Huna pesa haki yako upewi…
 
Back
Top Bottom