Ataweza kushughulikia wangapi kwa namna ya mmoja mmoja adi awamalize? Si ndio maana anaagiza mamlaka za chini zilizopewa dhamanaEndeleeeni kushabikia upuuz wenu huo..siku yakikukutaa ndo utataman na ww kwenda kwa mwenye mamlaka ya ju..ushezi wa ushabik unamaliza wengi..kama nyie wapuuzi puuzi wa humu jf
Maadamu waandishi wa habari wameweza kuona tukio hili na kulirekodi, kazi kwenu mhimili wa 'nne' muende kumhoji kwa kina shida za mama huyu ili vyombo vinavyohisika pamoja na taasisi ya urais ifahamu matatizo ya watanzania.
Media House vyombo vya habari Tanzania msijiegemeze tu kuwahoji watu maarufu tu au ma celebrity , social influencer Kiki, zao au scandal zao na hili la mama huyu mlifuatilie ifahamike shida ni nini.
Ataweza kushughulikia wangapi kwa namna ya mmoja mmoja adi awamalize? Si ndio maana anaagiza mamlaka za chini zilizopewa dhamana
Ndugai alijiuzulu kwa hiari yakeKusikiliza sio kuingilia.
By the kama alimwingilia Ndugai atashindwaje kuingilia hapo?
Pulchra Animo03 February 2022
Mapya yaibuka sakata la mama aliyeibuka akitaka kumpa bahasha Rais Samia kwenye wiki ya sheria
Jeshi la polisi limefanya uchunguzi na kubainisha kuwa Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Veronica Alex Rafael, ambaye alijitokeza na bahasha akijaribu kumpa Rais Samia Jukwaa kuu kwenye maadhimisho ya wiki ya Mahakama iliyofanyika Tarehe 2, Februari 2022, imebainika kuwa alifukuzwa kazi kwenye hospitali a Mirembe mwaka 2021 na hivyo alimdanganya rais Samia.
Source : mwananchi digital
Omba MUNGU yasikukute, Duniani hakuna haki.Usichukulie kila kitu juu juu, Jitahidi uwe Mtu wa speculation.Nimependa Sana hii, haya maigizo ya kijinga ifike muda tuyapuuze yanaleta unafiki na utwana kwa viongozi wetu
Duuhh.Ndugai alijiuzulu kwa hiari yake
Mama tunamuelewa sana, anafanyakazi nzuri na hataki maigizo wala sifa za kutengeneza.Maigizo yote haya yaliletwa na Magufuli kwa kutaka cheap popularity na kujifanya eti anapenda Saana wanyonge.
Upumbavu mtupu
Hawawezi!Maadamu waandishi wa habari wameweza kuona tukio hili na kulirekodi, kazi kwenu mhimili wa 'nne' muende kumhoji kwa kina shida za mama huyu ili vyombo vinavyohisika pamoja na taasisi ya urais ifahamu matatizo ya watanzania.
Media House vyombo vya habari Tanzania msijiegemeze tu kuwahoji watu maarufu tu au ma celebrity , social influencer Kiki, zao au scandal zao na hili la mama huyu mlifuatilie ifahamike shida ni nini.
Sio mfano ambao ni wakufuatw n marais wote, Zanzibar ilivyo ni rahisi kwa rais kupita maeneo yote na kusikiliza kero karibu zote, tofuti na bara, ambapo mkoa mmoja tu ni kimbembe..dawa ni kutengeneza mifumo na kuiimarisha, au labda afanya kwa show offModel ndio kitu gani kwanza ?!😢😢😢😢
Mtieni ujinga tu.Nimependa Sana hii, haya maigizo ya kijinga ifike muda tuyapuuze yanaleta unafiki na utwana kwa viongozi wetu
Ni mara ngap mamlaka za chini zinafeli kutoa haki sweet16!! Hujui kuna uozoo kwenye hizo mamlaka mama!! Yakikukuta ndo utajua mama yangu..we tulia tu! Kiongoz bora ni yule anajali maslah ya wanyonge wasiokuwa na sauti wala mtu wakuwanenea..ww kama kiongoz ndo sauti yao na wakuwanenea.Ataweza kushughulikia wangapi kwa namna ya mmoja mmoja adi awamalize? Si ndio maana anaagiza mamlaka za chini zilizopewa dhamana
I know... halafu akasema ni Rais wa wanyonge...Rais anashugulika na bifu za Wasafi na Konde boy![emoji1787]
Wale wamama wa kutengeneza enzi zile na wauza mahindi hawana nafasi tenaWewe mpumbavu unaona ujinga!
Mamlaka za chini zinaanzia na kuishia wapi?Ni mara ngap mamlaka za chini zinafeli kutoa haki sweet16!! Hujui kuna uozoo kwenye hizo mamlaka mama!! Yakikukuta ndo utajua mama yangu..we tulia tu! Kiongoz bora ni yule anajali maslah ya wanyonge wasiokuwa na sauti wala mtu wakuwanenea..ww kama kiongoz ndo sauti yao na wakuwanenea.
Kuna haja gani ya kuwa na watu huko chini wanaolipwa mishahara kwa kodi za raia kutatua kero za watu ikiwa Rais ndiye anafanya hiyo kazi?That isn’t the point. Hata yeye hakutani na watu wa kawaida kila siku. Anapokuwa available haidhuru kuwasikiliza hao watu na kuziagiza mamlaka za chini kushughulikia kero zao. Kama, wakati wa campaign za uchaguzi, waliweza kwenda kila kona ya nchi kuwaomba hao walalahoi wawachague, hawana sababu ya kukataa kusikiliza kero za wananchi ambao wamekosa mtu (huko chini) wa kutatua kero zao.
Kama wao ni wakubwa mno kuongea na watu wa kawaida, basi wawe wanawatuma tu wasaidizi wao kwenda kwa wananchi kuwaombea kura wakati wa uchaguzi.
Kuna haja gani ya kuwa na watu huko chini wanaolipwa mishahara kwa kodi za raia kutatua kero za watu ikiwa Rais ndiye anafanya hiyo kazi?
Unaelewa majukumu ya Rais na kwa nini kuna mawaziri, manaibu waziri, RC, DC, DED, Mwenyekiti wa Halamashauri, Wakuu wa Idara, mwenyekiti wa kijiji?