Endeleeeni kushabikia upuuz wenu huo..siku yakikukutaa ndo utataman na ww kwenda kwa mwenye mamlaka ya ju..ushezi wa ushabik unamaliza wengi..kama nyie wapuuzi puuzi wa humu jf
Kuna haja gani ya kuwa na watu huko chini wanaolipwa mishahara kwa kodi za raia kutatua kero za watu ikiwa Rais ndiye anafanya hiyo kazi?
Unaelewa majukumu ya Rais na kwa nini kuna mawaziri, manaibu waziri, RC, DC, DED, Mwenyekiti wa Halamashauri, Wakuu wa Idara, mwenyekiti wa kijiji?
Lakini Rais kama Chief Comforter alitakiwa kumjibu huyo mama kwa Hekima, sio kumfokea hivyoUle ujinga wa maigizo hatutaki,safi Sana Rais..
Haiwezekani kila mwenye tatizo amtafute Rais.
Chief comforter wa Nchi sio wa individuals..Lakini Rais kama Chief Comforter alitakiwa kumjibu huyo mama kwa Hekima, sio kumfokea hivyo
Kwa hiyo unataka katiba mpya ili RC na DC wawe wanachaguliwa kwa kura na wananchi?Unaniuliza mimi kwani niliwaweka hao viongozi ambao hawawezi kujishughulisha na kero za wananchi?
Kwa hiyo unataka katiba mpya ili RC na DC wawe wanachaguliwa kwa kura na wananchi?
Kama hiyo nyumba ya mtu huwa inakuwa on fire mara kwa mara kwa miaka mingi huona ni busara kufanya mchakato wa kuwa na fire department kwanza ili kuepukana na hasara ambazo zimekuwa kawaida mara kwa mara?Nyumba ya mtu iko on fire halafu wewe unasema tufanye kwanza mchakato wa kuwa na Fire Department in the neighborhood?
Kama hiyo nyumba ya mtu huwa inakuwa on fire mara kwa mara kwa miaka mingi huona ni busara kufanya mchakato wa kuwa na fire department kwanza ili kuepukana na hasara ambazo zimekuwa kawaida mara kwa mara?
Walivyokuwa wanapangwa kwa ajili ya maigizo na jiwe walisaidiwa nini?Sasa kama hawasaidiwi waende kwa nani. Acheni kupwekesha jukumu la Rais.
Ukisema hawezi kusimamia mambo utapungukiwa na nini?
Kuna yule mzee alisema Baki na mavi yako nyumbani na akasema yeye hajaongea na Mungu alete tetemeko kule kagera hivi yupo wapi?Lakini Rais kama Chief Comforter alitakiwa kumjibu huyo mama kwa Hekima, sio kumfokea hivyo