Duh! Rais Samia amkataa mama mnyonge aliyetaka kumlilia kama Magufuli. Nenda kakae…

Sasa kama hawasaidiwi waende kwa nani. Acheni kupwekesha jukumu la Rais.

Ukisema hawezi kusimamia mambo utapungukiwa na nini?
Kwahyo unataka Rais akawe hakimu ama Judge kwa muda huo huo mfupi hapo na atoe maamuz!!?
Sasa hamuoni kama atakuwa ameingilia muhimili mwingine!?! Halafu kesho muanze tena kumsema vibaya
 
Kwahyo unataka Rais akawe hakimu ama Judge kwa muda huo huo mfupi hapo na atoe maamuz!!?
Sasa hamuoni kama atakuwa ameingilia muhimili mwingine!?! Halafu kesho muanze tena kumsema vibaya
Hata Magufuli hakufanya maamuzi pale pale alikabidhi kwa vyombo husika! Ila huyu sasa? Kwanza mwanamke mwemzie halafu lugha inayotumika? Kwa kifupi huyu bibi hanaga habari na watu wa maisha duni!
 
Je hapo katoa maelekezo kwa wasaidizi wake wamsaidie au kumsikiliza huyo mama?
Si kaambiwa awape wasaidizi wake na itashughulikiwa au wewe ulitaka rais atoe tu maagizo na amri bila kujua undani/ukweli wa jambo lenyewe?
 
Kwa maana nyingine kamanisha mbowe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…