Duh, basi mimi ni kenge wa tofauti sana. Mimi kenge nimeweza kukufanya wewe mwanadamu mwenye akili timamu ukafungua uzi wangu mimi kenge halafu ukaendelea kujibizana na mimi kenge? Duh, maajabu duniani hayaishi.Wewe kenge hakuna kuokoka ukiwa duniani. Hadi sasa hivi huwezi kusema kuwa uko kundi tofauti na mzabzab
Wifi nijibuDuh, basi mimi ni kenge wa tofauti sana. Mimi kenge nimeweza kukufanya wewe mwanadamu mwenye akili timamu ukafungua uzi wangu mimi kenge halafu ukaendelea kujibizana na mimi kenge? Duh, maajabu duniani hayaishi.
Hakuna anayemiliki uzi hapa. Ukishaandika kitu JF kinakuwa cha wote ndo maana tuna-comment. Wewe ni kenge kwa sababu unajiona huna dhambi.Duh, basi mimi ni kenge wa tofauti sana. Mimi kenge nimeweza kukufanya wewe mwanadamu mwenye akili timamu ukafungua uzi wangu mimi kenge halafu ukaendelea kujibizana na mimi kenge? Duh, maajabu duniani hayaishi.
Huna hoja ya kunijibu wewe.Sijakuambia umeongea ujinga. Nimekuambia siwezi kukujibu kwa paragraph moja ukaelewa. Hoja zako ni nyingi.
Ameomba, na tumeoneshwa kwakoMwambie amuombe Mungu.
Mke mwema mtu hupewa na Bwana(Mithali 19:14)
Weka hapa documents za utafiti ulioufanya unaothibitisha "usahihi" huo. Vinginevyo andiko hili linakuhusu:100% uko sahihi ππ ni wapuuzi kuliko hata upuuzi wenyewe.
Humpendi kaka yako? Bora umtafutie kaka yako hata baamedi kuliko hawa kina dada wa kilokole.Mtumishi umeolewa? Kaka angu anatafuta mchumba
Ulichoandika na avatar yako ni kama miujiza, ngoja nifute miwani yangu kwanza.1 wakorinto 1;19
Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi Bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu
Hahaha π, juzi alitoka nduki hadi vumbi ikapaaMwamba Setfree anaweka thread Ila akiona imekuwa ya Moto anakimbia ππππ
ππππ Mungu alimwambia eliya nimejisazia watu elfu7 wasiompigia goti baali,Ulichoandika na avatar yako ni kama miujiza, ngoja nifute miwani yangu kwanza.
Andiko la Mwanzo 38:14-15 linatufundisha kwamba Tamari alionekana kama kahaba kwa sababu ya mavazi yake, ingawa moyo wake haukuwa hivyo. Hili linatufundisha kuwa mavazi au mwonekano wa mtu unaongea. Kwa sababu hiyo mtu anaweza kueleweka pia vibaya kwa avatar yake, hata kama nia yake ni njema.ππππ Mungu alimwambia eliya nimejisazia watu elfu7 wasiompigia goti baali,
Hakuna. Yesu mwenyewe alibariki maji na kuwa mvinyo. Pombe na iheshimiwe na watu wote. Kunywa kwa kiasi...Wapi kwenye bible wamekata pombe?
Kuna mlokole mmoja aliniambia eti ile divai ni non-alcoholicKwenye harus ya Kana, Yesu anageuza maji kuwa divai.
πAndiko la Mwanzo 38:14-15 linatufundisha kwamba Tamari alionekana kama kahaba kwa sababu ya mavazi yake, ingawa moyo wake haukuwa hivyo. Hili linatufundisha kuwa mavazi au mwonekano wa mtu unaongea. Kwa sababu hiyo mtu anaweza kueleweka pia vibaya kwa avatar yake, hata kama nia yake ni njema.
Na katika 2 Wakorintho 6:3 Paulo anatukumbusha watumishi wa Mungu, tuwe waangalifu tusiwe kwazo la namna yoyote ile, ili utumishi wetu usilaumiwe.
Nakutakia Pasaka njema rafiki yangu Amun Ra