Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Kwa kua sisi ni wadau wa afya waandamizi..Yoda, hilo ni tatizo la mwenye biashara/management.
Watu tunashindwa kununua kondom na vilainishi kwa raha 😅
Huwa hatuoni aibu yoyote..we njoo hata ununue P2