Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kero za dldm😂 hujawahi kupata haya ukienda kununua chochote🫴🏾Subhanalah
Kero za dldm😂 hujawahi kupata haya ukienda kununua chochote🫴🏾Subhanalah
Ndio ptuu?Kero za dldm😂 hujawahi kupata haya ukienda kununua chochote🫴🏾
Kuna siku zamani kidogo niliishia kuulizia vocha za TTCL nkasepa. Niliyemkuta mdada akamwambia muuzaji "mhudumie kwanza huyu mkaka mi ntasubiri..."Wakati wamejazana counter mhudumu bila aibu anaropoka KAKA NIKUSAIDIE NINI?
Kwa aina ya pharmacists tulionao kwasasa, hata akisikia yeye pekee ataenda kusimulia mashost zake wote mtaani. Unless kama ni mbali na makazi yakoKuna matatizo watu hawatakiwi kusikia,asikie pharmacist tu😅
AiseeUko sahihi kuna siku nilishindwa kununua upt na p tuu kisa kikundi cha mashost counter🤦🏽♀️
Wanakosa weledi na haitakiwi kuwa hivyoKwa aina ya pharmacists tulionao kwasasa, hata akisikia yeye pekee ataenda kusimulia mashost zake wote mtaani. Unless kama ni mbali na makazi yako
Uko sahihi sana kwenye hili.Nyie mnasema pharmacy, mie mpaka dukani napima kwa mbali mmejaa wengi napotea huko huko 🤣
Tukishaambukizwa ma UTI tunashindwa kununua AZUMAYoda, hilo ni tatizo la mwenye biashara/management.
Watu tunashindwa kununua kondom na vilainishi kwa raha 😅
Si ndiooooo 🤣Tukishaambukizwa ma UTI tunashindwa kununua AZUMA