DOKEZO Duka la dawa haipaswi kuwa sehemu ya kupoteza muda kabisa au watu wasio wateja kujikalia kiholela

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kumbe kuna course kabisa ya kutunza faragha za magonjwa, inatakiwa ipewe credit nyingi zaidi ili iwakae vizuri akilini maana wauza dawa wengi mtaani ni kama vile hawajui hata ABC za faragha za mteja.
Wauza dawa wengi ni ado elimu yao ni ya miezi mitatu tu
 
Na baadhi ya wahudumu wanatoka Siri😁,,

Kuna mdada akaniuliza,eti warda yule mdada Fulani ni mjamzito??

Nikashangaa nikamwambia mie sijui, nikamuuliza umejuaje?? Eti nimeambiwa na yule mdada wa pharmacy kuwa alienda kununua kipimo Cha mimba😁😁🙌,,,nilijisemea sitokuja nienda hile pharmacy kumbe anaadithia mashoga zake🚮
 
Kumbe kuna course kabisa ya kutunza faragha za magonjwa, inatakiwa ipewe credit nyingi zaidi ili iwakae vizuri akilini maana wauza dawa wengi mtaani ni kama vile hawajui hata ABC za faragha za mteja.
Nilazima kwenye hizi KAZI za ku deal na community/ lazima upikwe mambo ya guidance and counseling, lazima usome ethical issues in medical practices ni za muhimu SANAAAAAA
 
Wauza dawa wengi ni ado elimu yao ni ya miezi mitatu tu
Shida inakuja pale ambapo mmilikinwa hiyo biz ni daktari mwajiriwa wa serikalini au private sector... Lakini kutokana na majukumu ana mwajiri mtu ambaye anajua kuuza dukani na kurudisha chenji anamuweka hapo.. huku yeye akiendelea na majukumu mengine.. hapo unategemea privacy ya client itazingatiwa? NEIN
 
Hiyo ni kwenye biashara yeyote tu. Nachukia sana kukuta watu wamejikalia kalia tu kwenye sehemu ya huduma. Wabongo ni wapuuzi sanaz unaruhusuje mtu aje kupiga soga kwenye biashara?
Wachawi wachawi sana watu wa type hiyo+u snitch kwa sana
 
Shida inakuja pale ambapo mmilikinwa hiyo biz ni daktari mwajiriwa wa serikalini au private sector... Lakini kutokana na majukumu ana mwajiri mtu ambaye anajua kuuza dukani na kurudisha chenji anamuweka hapo.. huku yeye akiendelea na majukumu mengine.. hapo unategemea privacy ya client itazingatiwa? NEIN
Ujue maadili yana Anza na mtu mwenye ujue Mimi Kuna wadau humu ndani wamewai nicheki kwenye issues za kitabibu na katu maadili ya kazi yanakataza kutoa Siri ya mteja/ mgonjwa.
 
Nilazima kwenye hizi KAZI za ku deal na community/ lazima upikwe mambo ya guidance and counseling, lazima usome ethical issues in medical practices ni za muhimu SANAAAAAA
Napenda niingie pharmacy nikute hakuna mtu hata mmoja au kuna mtu mmoja tu wa kunihudumia hapo najiachia sana sifichi kitu na hapo nishataitiwa na ugonjwa nafunguka sitaki kufichaficha maelezo, kuna pharmacy zina lab ya pembeni km una complications za ndani labda unaweza ukaingia lab unatoa nguo unaonyesha unaona hapa na hapa hivi na hivi jamaa anavaa groves anakukagua vizuri ooh sawa km ni hivi dawa fulani na fulani itakusaidia ngoja nikakuandikie uitumie, mnatoka safi anakuandika dawa unaenda kujitibu sasa umeingia unakuta watu wameweka kigenge chao hapo wanakula mastory kila ukiongea neno moja watu wametoa macho yaan hawafanyi yao wanakuangalia wewe hapo wewe unafikiri hata ukiambiwa uingie lab utaingia zaidi ya kuondoka?
 
Pharmacy sio sehemu ya kuongeza shida au ugonjwa wako
Ni sehemu ya kununua dawa baada ya kutoka Kwa Daktari
Sasa ukienda kukwambia mdada wa pharmacy kama una kaswende shauri yako
Nafikiri dawa za fangasi kwenye pumbu unaweza kununua bila cheti cha daktari.
 
Napenda niingie pharmacy nikute hakuna mtu hata mmoja au kuna mtu mmoja tu wa kunihudumia hapo najiachia sana sifichi kitu na hapo nishataitiwa na ugonjwa nafunguka sitaki kufichaficha maelezo, kuna pharmacy zina lab ya pembeni km una complications za ndani labda unaweza ukaingia lab unatoa nguo unaonyesha unaona hapa na hapa hivi na hivi jamaa anavaa groves anakukagua vizuri ooh sawa km ni hivi dawa fulani na fulani itakusaidia ngoja nikakuandikie uitumie, mnatoka safi anakuandika dawa unaenda kujitibu sasa umeingia unakuta watu wameweka kigenge chao hapo wanakula mastory kila ukiongea neno moja watu wametoa macho yaan hawafanyi yao wanakuangalia wewe hapo wewe unafikiri hata ukiambiwa uingie lab utaingia zaidi ya kuondoka?
Sio powaa kabisaa
 
Hapo unasemea pharmacy au haya maduka ya dawa ya kawaida?
Maana pharmacy kwa ukubwa na upkeep wake watu wanawezaje kukaa kaunta kupiga story
 
Back
Top Bottom