Yaan sijasikia umesemaje una nini busha?Safi! Uamuzi mzuri sana! Mtu una busha lako nene au gonorhea lako sugu unakuta nyomi imejianika hapo!
Uzinzi bila usafiri ni mgumu sana! Enewei siku nyingine uwe unawahi eneo la tukio ndio unamwambia bibie aanze kuja😎Haijawahi nitokea hii scenario ila huwa inawakuta wengi sana ... Kiasi kwamba wanakosa kujiamini yaani 😑
GT ugonjwa mzito/adimu ndio upi?Pia baadhi ya wafamasia huanza kuuliza maswali mengi wakiona unachukua dawa za ugonjwa mzito/adimu. Inakera.
Kwani lengo la kwenda lodge ni nini? Tukitembea wote mguu kwa mguu ndio penzi liko shata shata?Kwani kuna shida gani?
Saluni ndio hatari zaidiSio pharmacy tyuuh.
Maduka ya vyakula, salon, migahawani. Etc
Wanageuza ni vijiwe vya umbea, nakerekwa sana.
Ndio kilo sabaYaan sijasikia umesemaje una nini busha?
Hayo sasa ni mapenz ya kudunguana tu na kuachana labdaKwani lengo la kwenda lodge ni nini? Tukitembea wote mguu kwa mguu ndio penzi liko shata shata?
Wanaboa hatariii, niliwahi mnawa mtu salon kisa huu upumbavu wa kukaa km kijiweni.Saluni ndio hatari zaidi
Ndio yenyewe hayo🤗Hayo sasa ni mapenz ya kudunguana tu na kuachana labda
Masaluni vijana wamependeza 24hrs ni stories tu za ngonoWanaboa hatariii, niliwahi mnawa mtu salon kisa huu upumbavu wa kukaa km kijiweni.
Lol
Hahaha basi ndio maanaNdio kilo saba
Shindwa pepoo.... Oh shakarabalaala..... Oh hallelujah.....😂😂🤣.. yaani badala ushauri tuache tabia mbaya ya horizontal engineering wewe unasema niwahi eneo la tukio....dah!🤣🤣 Kweli shetani wa mtu ni mtuUzinzi bila usafiri ni mgumu sana! Enewei siku nyingine uwe unawahi eneo la tukio ndio unamwambia bibie aanze kuja😎
Kumbe kuna course kabisa ya kutunza faragha za magonjwa, inatakiwa ipewe credit nyingi zaidi ili iwakae vizuri akilini maana wauza dawa wengi mtaani ni kama vile hawajui hata ABC za faragha za mteja.Kaka unanikumbusha SOMO LA ETHICAL ISSUES 😊 KWENYE MAMBO YA AFYA...
Kumbe unawajua wengine hawawezi kujizuia ukiondoka yaan unatoka tu katoa boko inasikia likicheko tu huko bwabwabwa kumbe unachekwa wewe kudadek majungu majungu tuSio pharmacy tu .. biashara yoyote ile haipaswi kuwa kijiwe cha kupiga soga in the name ya ushikaji . Haifai kabisa. Na most of them ni wapiga majungu hatari sana.
The same na mimi.... Huwa inanikwaza sana ... Wanakutathmini kiwango chako cha purchasing power na kiasi cha pesa unachospend. Huwa inakera sana.Sio pharmacy tyuuh.
Maduka ya vyakula, salon, migahawani. Etc
Wanageuza ni vijiwe vya umbea, nakerekwa sana.