DOKEZO Duka la dawa haipaswi kuwa sehemu ya kupoteza muda kabisa au watu wasio wateja kujikalia kiholela

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nafikiri dawa za fangasi kwenye pumbu unaweza kununua bila cheti cha daktari.
Sio sawa laZima umwone Daktari akuandikie dawa na namna sahihi ya kuzitumia
Kwani Kwa Daktari Huwa mnaogopa Nini?
 
Mbona Mimi sioni aibu kumnunulia pedi wife..

Au Kwa kua na deal na haya mambo mwisho wa siku sioni aibu sijui KY GELL, condom, ped, adult diapers N.k
Elewa hoja ya mkuu Yoda Privacy ni muhimu hata kama mtu ananunua kitu Cha kawaida tu.

Yaani unakuta watu kibao dukani alafu unanunua ped za Shem,na Kila mtu anaona kwamba mke wa bwana Chapwa hutumia ped za aina Fulani au wanawaza mke wa Chapwa anakaribia kuingia P au Yuko p.Tuwape watu wetu wa karibu kipaombele Cha faragha
 
Sio sawa laZima umwone Daktari akuandikie dawa na namna sahihi ya kuzitumia
Kwani Kwa Daktari Huwa mnaogopa Nini?
Kumuona daktari ni gharama, mambo mengine yanamalizwa kibishi na kwa uzoefu tu mtaani.
 
Kama unataka kibishi kuwa mbishi kweli hata ukikuta warembo duka la dawa wambie una kaswende sugu
 
Elewa hoja ya mkuu Yoda Privacy ni muhimu hata kama mtu ananunua kitu Cha kawaida tu.

Yaani unakuta watu kibao dukani alafu unanunua ped za Shem,na Kila mtu anaona kwamba mke wa bwana Chapwa hutumia ped za aina Fulani au wanawaza mke wa Chapwa anakaribia kuingia P au Yuko p.Tuwape watu wetu wa karibu kipaombele Cha faragha
Aya bwana
 
Back
Top Bottom