RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Wakati wamejazana counter mhudumu bila aibu anaropoka KAKA NIKUSAIDIE NINI?Mtu unafika zako famasii unataka kununua "Rough Rider" pakti mbili unakuta watu kibao! Unahairisha unaenda kupiga kavu au na mipira ya jero jero. 😁