Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Milioni 6 kwa mwaka... huu pekee ni mtaji tosha wa biashara kwa karne hii ya biashara na digital marketing

.Sijajua uelewa wako katika masuala ya biashara yako vp?
1.kwann umechagua pharmacy, una ujuzi wa masuala ya madawa au una uzoefu tu wa hiyo biashara.

2.Tulia...fanya utafiti kabla ya kuamua biashara gani ya kuifanya... epuka kuanza biashara ambayo inachukua kiasi chote cha pesa..ulichonacho kw wakati mmoja..

mfano: kwa kiasi hicho cha pesa anza na biashara ambayo itakugharimu si zaidi ya milioni 7...hapo utakuwa na amani..hata biashara ikiyumba hutokuwa na was was..
imaginr unaanzisha biashara ambayo inaxhukua pesa hiyo yote...itakapoyumba utapanic na biashara inaweza kufa..

My advice fanya research ya biashara ambayo haito kuhitaji makodi yote hayo (milioni 6)...

kwa mfano watu siku hizi wanafanya food delivery ila unakuta hawana ofisi / pango linalowakata pesa nying kiasi hicho...huo ni mfano tu.. simaanishi ufanye hii biashara

Usiwaze kuhusu masoko soma uzi wangu huu kuhsu digital marketing

Kuelekea 2020: Siri ya kunasa wateja ambayo kila mmiliki wa biashara anatakiwa aifahamu

Dunia ya sasa ni ya kidigitali..huhitaji ofisi..ni kuipambanua tu bidhaa au huduma yako..mtu aweze kuihitaji..na hakikisha bidhaa yako ina tija kwa mtumiaji..

Huu ni mtazamo wangu tu.
 
Hela ndogo sana hiyo mkuu .... Dukani lazima kiwepo cheti cha mpharmasia ambaye utamlipa Million 1 mpaka million 1.5 kwa mkataba wa miezi 6....

Bado hujalipa kodi ya chumba ambayo umesema ni laki 5 kwa mwezi....

Bado ukarabati wa chumba vinatakiwa viwepo vyumba viwili vikubwa na ufunge Air condition ... Bado Manunuzi ya mzigo dawa,
Ongeza ifike hata Mill 25

Au nakushauri uanze na duka la Dawa Muhimu ambalo gharama yake haizidi Mill 5
 
Nashukuru sana kwa ushauri.
Ila mzigo sio lazima ninunue mwingi sana.
Naweza nunua mzigo wa 6m kwa kuanzia
6m nikalipa kodi
3m mambo ya ukarabati
Afu inabaki 5m.
Hapo vipi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu chapa kazi achana na maneno ya wanafunzi wa chuo humu... Nina rafiki yangu alianza duka la Dawa kea mtaji milion 3... Mambo mengine alijua mbele kwa mbele...

Nchi hii ukitaka uanze Kitu kwa kukamikisha taratibu zote hutakuja kuanzisha Kitu , hata kujenga Nyumba tunaambiwa mpaka upitie ofisi za mipango miji mkoa na wilaya ila watu tunajenga Kama kawaida.

Cha msingi tafuta wenye hayo maduka wakupe siasa za huko then Zama mazima utaji-adjust humo humo ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana bosi
Nimekuelewa sana mkuu
Ubarikiwe sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forex

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru sana kwa ushauri.
Ila mzigo sio lazima ninunue mwingi sana.
Naweza nunua mzigo wa 6m kwa kuanzia
6m nikalipa kodi
3m mambo ya ukarabati
Afu inabaki 5m.
Hapo vipi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hela ya kumlipa mpharmasia ambayo ni Mill 5+ ...... Pia mtu aliyesoma Dispensing Certificate na yeye anatakiwa kuwepo
Bado TRA unatakiwa uwe na EFD Mashine,
 
Huyo mphamasia anatakiwa alipwe mwisho wa mwezi. Tuseme 1m
Efd mashine laki4
Cheti cha dispensary???

Ngoja nione itakuaje huko mbele
Nashukuru
Bado hela ya kumlipa mpharmasia ambayo ni Mill 5+ ...... Pia mtu aliyesoma Dispensing Certificate na yeye anatakiwa kuwepo
Bado TRA unatakiwa uwe na EFD Mashine,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hela hii bro kufungua pharmacy ni mtihan bora duka la dawa....pharmacy ina mashart na vigezo vikubwa zaidi mfano..lazima uwe na cheti cha mpharmacia ambae ana degree na mshahara wake si chini ya 1m...

Huu unapangwa na baraza la pharmacia hapo ukiongeza kodi ya nyumba....leseni na tra bado hujaajir wafanyakaz kama mpharmacia mwenye diploma hawa salary inafika 600k+ na nurse mana hawa wa degree anaweka cheti tu dukan ila humkuti kukaa dukan kwako hata
Hapo 17m inakata na hujaweka mzigo wowote...

Nakushauri fungua Dldm tu hii inahitaj nurse mwenye cheti cha ADO tu hata ukiwa na laki 5 unaanza na mzigo fresh nishafanya kaz na watu walioanza DLDM na mitaji ya 300k had 700k

Pia kodi ya 500k kwa biashara unayoanza changa ni kisanga mkuu.....jaribu kuchakata upya swala hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri muruwa kabisa. Hatajuta.
 
Songa Mbele Usisikilize sana maneno ya watu watakufanya uone iyo 17 n ndogo, kuhusu kodi ya milion6 usiogope kama kuna mzunguko wa pesa manake unaweza lipa kodi kwa mwaka 6M afu faida yako kwa mwaka 20m inakuwa poa tu kulko kwenda kulpa kodi kwa mwaka milion afu kwa siku mauzo efu50 faida ata efu10 haifk, sehem yenye mzunguko wa pesa lazma iwe bei juu asa katkat ya mji angalia tu ilo eneo kama biashara yako ina uhitaj
 
Nashukuru sana kwa ushauri.
Ila mzigo sio lazima ninunue mwingi sana.
Naweza nunua mzigo wa 6m kwa kuanzia
6m nikalipa kodi
3m mambo ya ukarabati
Afu inabaki 5m.
Hapo vipi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,biashara sio rahisi kama ulivoandika hapa.kuna maswali mengi uanpaswa kuwa umeshauliza au kujiuliza mapaka wakati huu.Kama hujajiliza hayo maswali basi usifikiri kwamba biashara ni hivo tu.Je wewe ni Daktaria au Mfamasia?Hilo eneo ulilochagua ni nini kimekuvutia kulichagua?Kuna hospitali karibu au nini?Kumbuka kwamba kila biashara ina fursa na changamoto zake na pia lazima utambue uwezo wako na worst case scenarios.

Nafikri nikushauri tu kwamba have your facts before you commit.All the best.Kwa msaada zaidi PM
 
Mimi naweza sema kama umedhamira kufanya we ingia kwenye biashara kwa ukomavu ..mengine utayakuta humo vitu vya msingi chunguza soko lako ni nani na nani au litakuwa lipi.

Fanya kuanza taratibu unavyozidi kukaa kwenye biashara ndio utazidi kupata udhoefu na wateja zaidi.
 
Mkuu uko deep sana [emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi maelezo yameshiba,hivi mfamasia anaesimamia pharmacy anakuwa na elimu gani na anasoma miaka mingapi?
Mbona analipwa hela ndefu sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…