Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Wengi hawana sifa, wataumia sana ufuatiliaji utakapofanyika
 
Mkuu ulifikia wapi? naomba mrejesho
 
Sorry mkuu nimeyapenda mawazo yako pia naomba unitumie nami hicho kitabu cha mwongozo wa DLDM ahsante Sana gmail yangu,. deushoja1993@gmail.com
 
Nauza duka la dawa kwa mwenye uhitaji anione nmeshindwa kuambatanisha picha... ni 3.3m, limelipiwa kodi mpka mwezi wa 12 na lesen ya biashara mpka mwakani na vibali vingne
Location ipo wapi
 
Nauza duka la dawa kwa mwenye uhitaji anione nmeshindwa kuambatanisha picha... ni 3.3m, limelipiwa kodi mpka mwezi wa 12 na lesen ya biashara mpka mwakani na vibali vingne
Hiyo labda DLDM.

Pharmacy haiwezi kuwa na thamani hiyo, labda haina dawa na unauza tu vitendea kazi
 
Hiyo labda DLDM.

Pharmacy haiwezi kuwa na thamani hiyo, labda haina dawa na unauza tu vitendea kazi
Yes ni DLDM sio phamacy, lina makabati 4 makubwa ya aluminium na mlango wa aluminium mkubwa na dawa
 
Ngoja waje
 
Attachments

  • FB_IMG_16356227884522008.jpg
    17.2 KB · Views: 99
Mkuu umesomeka sana. Humu wa-pharmacy-a wanajipigia promo juu kwa juu. Eti malipo kwa mwezi kwa mphamasia analipwa 1m. Fix tuuu.

Mtu ana 15mil, unamwambia haitoshi awe na 30m. Sio Kila mtu anafungua pharmacy kariakoo bhana. Wafamasia acheni kuwatisha wajasiriamali, wakati hamna hata dldm za 1mil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…