Pablo
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 2,441
- 2,545
Bro fanya bana. ILa utaoneka kama wale wenye maduka ya dawa za asili.Usikatishe tamaa mkuu, kuna watu walianza biashara na walianza bila hata senti, leo wako mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro fanya bana. ILa utaoneka kama wale wenye maduka ya dawa za asili.Usikatishe tamaa mkuu, kuna watu walianza biashara na walianza bila hata senti, leo wako mbali
Watu tumefanya na mtaji sifuri, usimkatishe tamaa mwenzako. Kitu cha kwanza kuwa na wazo. Inafuata nia.. Mtaji wa pesa ni jambo la mwisho.Bro fanya bana. ILa utaoneka kama wale wenye maduka ya dawa za asili.
Una certificate ya kuuza dawa. Hela haitoshi isijw TFDA wakakunyanganya vyote. Fremu ipakwe white colour,tiles sakafuni, shelf na meza ya kioo. Otherwise TFDA watakufungia
Sasa broo. Laki sita c utaweka vidawa viwili witatu na utaonekana unatania?
Labda duka zima uuze panadol
Fanya hivyo mkuu.Nalo litakuwa jambo jema kwani nitakuwa nimeanza kuishi kwenye ndoto yang.
Hapana mkuu mi nmesoma mambo mengne, nilifikiri nifungue halafu niajiri mtu nimsimamie tu.Wewe ni mtaalamu wa hayo madawa? Maana mi nielewavyo ukifungua hilo duka lazma uwe umesomea mambo ya madawa na unayafahamu vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sana nmepata kituMambo vipi. maduka ya madawa yana hadhi tofautitofauti hivyo kufanya gharama za ufunguzi kuwa tofauti. pia gharama inaweza tofautiana kulingana na eneo(Kama jengo la biashara).
Kwa pesa uliyonayo Anza kwa kufungua Duka la dawa Muhimu kuhusu Location sijui upo kona ipi ya nchi hii lkn jutahid duka hilo lisiwe mbali na mji(liwe mjini) au jirani na kituo Cha afya, zahanati au haspitali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Noted mkuu...pia sio lazima usomee Mambo ya madawa ilikufanya biashara hiyo, Japo mtu aliyesoma hayo anafanya kwa wepesi zaid kwakuwa anakuwa na ufahamu zaid
Sent using Jamii Forums mobile app
Npo Kigoma mkuuMambo vipi. maduka ya madawa yana hadhi tofautitofauti hivyo kufanya gharama za ufunguzi kuwa tofauti. pia gharama inaweza tofautiana kulingana na eneo(Kama jengo la biashara).
Kwa pesa uliyonayo Anza kwa kufungua Duka la dawa Muhimu kuhusu Location sijui upo kona ipi ya nchi hii lkn jutahid duka hilo lisiwe mbali na mji(liwe mjini) au jirani na kituo Cha afya, zahanati au haspitali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza hongera kwa wazo zuri,hiyo hela inatosha kabisa,unahitajika kusomea umiliki haichukui muda ni wiki kadhaa,uwe umempata muuzaji alosomea addo,kwa ajili ya cheti kikatumike kusajili duka lako kabla haujaanza biashara, biashara hiyo Ina faida sana unachotakiwa kufanya ni kupata flemu na kuifanyia ukarabati. Maeneo mazuri kwa biashara hiyo ni sehemu yenye mkusanyiko wa watu wengi,kwa ufahamu wangu vijijini ndo biashara hii inatoka sana,sehemu ambapo zahanati Ipo mbali na makazi ya watu,au hata ikiwa karibu kuna uhaba wa dawa Fanya uchunguzi.Hi guys,Naomba mwenye uzoefu na biashara ya Duka la Madawa anielezee changamoto za hii biashara. Nina 4M na nimekuwa na ndoto za kufungua duka la madawa. Wadau ni maeneo gan naweza kuanzisha duka hii.Je pesa hyo itatosha au niendelee kukomaa kutafuta zaid?
Nashukuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu nmekuelewa mnoKwanza hongera kwa wazo zuri,hiyo hela inatosha kabisa,unahitajika kusomea umiliki haichukui muda ni wiki kadhaa,uwe umempata muuzaji alosomea addo,kwa ajili ya cheti kikatumike kusajili duka lako kabla haujaanza biashara, biashara hiyo Ina faida sana unachotakiwa kufanya ni kupata flemu na kuifanyia ukarabati. Maeneo mazuri kwa biashara hiyo ni sehemu yenye mkusanyiko wa watu wengi,kwa ufahamu wangu vijijini ndo biashara hii inatoka sana,sehemu ambapo zahanati Ipo mbali na makazi ya watu,au hata ikiwa karibu kuna uhaba wa dawa Fanya uchunguzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuuFukua kuna uzi humu jf wa duka la madawa utapata kila kitu.ila 4m inatosha sana kwa duka la dawa.
Kila la kheri n biashara nina plan nayo huko mbeleni pia
Sent using Jamii Forums mobile app