Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Una certificate ya kuuza dawa. Hela haitoshi isijw TFDA wakakunyanganya vyote. Fremu ipakwe white colour,tiles sakafuni, shelf na meza ya kioo. Otherwise TFDA watakufungia

Nataka niweke mtu kidgo huku bado pako local sana hiyo standard ya fremu huwez kupata
Hila nashukuru kwa ushauri nitaufanyia kazi.
 
Hi guys,

Naomba mwenye uzoefu na biashara ya Duka la Madawa anielezee changamoto za hii biashara. Nina 4M na nimekuwa na ndoto za kufungua duka la madawa. Wadau ni maeneo gan naweza kuanzisha duka hii.Je pesa hyo itatosha au niendelee kukomaa kutafuta zaid?

Nashukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo vipi. maduka ya madawa yana hadhi tofautitofauti hivyo kufanya gharama za ufunguzi kuwa tofauti. pia gharama inaweza tofautiana kulingana na eneo (Kama jengo la biashara).

Kwa pesa uliyonayo Anza kwa kufungua Duka la dawa Muhimu kuhusu Location sijui upo kona ipi ya nchi hii lkn jutahid duka hilo lisiwe mbali na mji(liwe mjini) au jirani na kituo Cha afya, zahanati au haspitali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...pia sio lazima usomee Mambo ya madawa ilikufanya biashara hiyo, Japo mtu aliyesoma hayo anafanya kwa wepesi zaid kwakuwa anakuwa na ufahamu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo vipi. maduka ya madawa yana hadhi tofautitofauti hivyo kufanya gharama za ufunguzi kuwa tofauti. pia gharama inaweza tofautiana kulingana na eneo(Kama jengo la biashara).

Kwa pesa uliyonayo Anza kwa kufungua Duka la dawa Muhimu kuhusu Location sijui upo kona ipi ya nchi hii lkn jutahid duka hilo lisiwe mbali na mji(liwe mjini) au jirani na kituo Cha afya, zahanati au haspitali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sana nmepata kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo vipi. maduka ya madawa yana hadhi tofautitofauti hivyo kufanya gharama za ufunguzi kuwa tofauti. pia gharama inaweza tofautiana kulingana na eneo(Kama jengo la biashara).

Kwa pesa uliyonayo Anza kwa kufungua Duka la dawa Muhimu kuhusu Location sijui upo kona ipi ya nchi hii lkn jutahid duka hilo lisiwe mbali na mji(liwe mjini) au jirani na kituo Cha afya, zahanati au haspitali

Sent using Jamii Forums mobile app
Npo Kigoma mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi guys,Naomba mwenye uzoefu na biashara ya Duka la Madawa anielezee changamoto za hii biashara. Nina 4M na nimekuwa na ndoto za kufungua duka la madawa. Wadau ni maeneo gan naweza kuanzisha duka hii.Je pesa hyo itatosha au niendelee kukomaa kutafuta zaid?

Nashukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza hongera kwa wazo zuri,hiyo hela inatosha kabisa,unahitajika kusomea umiliki haichukui muda ni wiki kadhaa,uwe umempata muuzaji alosomea addo,kwa ajili ya cheti kikatumike kusajili duka lako kabla haujaanza biashara, biashara hiyo Ina faida sana unachotakiwa kufanya ni kupata flemu na kuifanyia ukarabati. Maeneo mazuri kwa biashara hiyo ni sehemu yenye mkusanyiko wa watu wengi,kwa ufahamu wangu vijijini ndo biashara hii inatoka sana,sehemu ambapo zahanati Ipo mbali na makazi ya watu,au hata ikiwa karibu kuna uhaba wa dawa Fanya uchunguzi.

Asante sana mkuu nmekuelewa mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom