kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Sasa tshirt zake ukifua zinakua nusu ya kanzuNi mwaka sasa niko mbeya,huyu jamaa anajiita vunjabei alifunggua duka lake hapa Sido mbeya kwa mbwembwe lakini naamini hauzi hata laki mbili kwa siku maana hakuna wateja kabisa pale.
Nikipita maeneo yale ya sido naona wafanyakazi wake wamekaa nje tu wamejishika tama.
Tatizo nini wakuu?
Sasa tshirt zake ukifua zinakua nusu ya kanzu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Gucci za mchongoAnauza Gucci original halafu zime vunja bei [emoji23][emoji41]
Mwanawe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Gucci za mchongo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] utaniuaaMwanawe[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo jamaa ni mfanyabiashara wa dawa za jumla kariakooVunjabei labda kama ana biashara nyingine ya siri inayomfanya avimbe mjini,ila.kama ni hayo matambara yake anayouza,ataishia kuwashika washamba wa huko kwao makete.