Duka la Vunjabei hapa Mbeya mbona limedoda sana?

Duka la Vunjabei hapa Mbeya mbona limedoda sana?

Ni mwaka sasa niko mbeya,huyu jamaa anajiita vunjabei alifunggua duka lake hapa Sido mbeya kwa mbwembwe lakini naamini hauzi hata laki mbili kwa siku maana hakuna wateja kabisa pale.
Nikipita maeneo yale ya sido naona wafanyakazi wake wamekaa nje tu wamejishika tama.
Tatizo nini wakuu?
Yaani nilivosikia vunja Bei akili yangu ilikua inanituma vitu vitakua vinauzwa Bei cheap lakini mambo yamekua vice versa
 
Vunjabei labda kama ana biashara nyingine ya siri inayomfanya avimbe mjini,ila.kama ni hayo matambara yake anayouza,ataishia kuwashika washamba wa huko kwao makete.
Nenda na wewe kafanye ya Siri tuone ka utatoboa Mkuu...acheni kubeza hustle za wanaume wenzenu...
 
Back
Top Bottom