Duka la Vunjabei hapa Mbeya mbona limedoda sana?

Ni mwaka sasa niko mbeya,huyu jamaa anajiita vunjabei alifunggua duka lake hapa Sido mbeya kwa mbwembwe lakini naamini hauzi hata laki mbili kwa siku maana hakuna wateja kabisa pale.
Nikipita maeneo yale ya sido naona wafanyakazi wake wamekaa nje tu wamejishika tama.
Tatizo nini wakuu?
Kwa mbeya ni issue sana kutoboa kwasababu Mtumba pale ndio umeshika soko kuliko maspesho hayo
 
Ni mwaka sasa niko mbeya,huyu jamaa anajiita vunjabei alifunggua duka lake hapa Sido mbeya kwa mbwembwe lakini naamini hauzi hata laki mbili kwa siku maana hakuna wateja kabisa pale.
Nikipita maeneo yale ya sido naona wafanyakazi wake wamekaa nje tu wamejishika tama.
Tatizo nini wakuu?
Fanya yako mkuu utapoteza sana muda kwa kufuatilia ya wenzako huku uzee ukikukimbiza kwa Kasi mwishoe uwe mchawi uzeeni
 
Ni mwaka sasa niko mbeya,huyu jamaa anajiita vunjabei alifunggua duka lake hapa Sido mbeya kwa mbwembwe lakini naamini hauzi hata laki mbili kwa siku maana hakuna wateja kabisa pale.
Nikipita maeneo yale ya sido naona wafanyakazi wake wamekaa nje tu wamejishika tama.
Tatizo nini wakuu?

Kunaweza kuwa na sababu hizi:

1. Kwamba watu wa Mbeya hamna hela maana Vunjabei huuza nguo na vitu vingine kwa bei chee...

2. Kwamba watu wa Mbeya hamjazoea mavitu famba, vile miaka nenda rudi Mbeya imekuwa soko la vitu original toka Zambia, Malawi...
 
Ni mwaka sasa niko mbeya,huyu jamaa anajiita vunjabei alifunggua duka lake hapa Sido mbeya kwa mbwembwe lakini naamini hauzi hata laki mbili kwa siku maana hakuna wateja kabisa pale.
Nikipita maeneo yale ya sido naona wafanyakazi wake wamekaa nje tu wamejishika tama.
Tatizo nini wakuu?
Hizi ni dalili za tabia za binadamu mwenye roho mbaya na fukara wa kutupwa
 
Ni mwaka sasa niko mbeya,huyu jamaa anajiita vunjabei alifunggua duka lake hapa Sido mbeya kwa mbwembwe lakini naamini hauzi hata laki mbili kwa siku maana hakuna wateja kabisa pale.
Nikipita maeneo yale ya sido naona wafanyakazi wake wamekaa nje tu wamejishika tama.
Tatizo nini wakuu?
Namkumbuka kama ni motivational speaker vile kuna kitu najifunza ambacho naanza kuthibisha uandishi wangu kuhuau enthusiasm and uncertainty
 
Biashara ya nguo nyepesi mbeya, ni tatizo, also. Bei si reason ya biashara kwenye location zote. Sema uzuri bado tu kuna hela anaipata pale.
 
Huyo jamaa anauza malonya lonya balaa ila ndiyo maana anauzwa bei ile eti tshirt elfu 10😄 kweli
 
Back
Top Bottom