Duka la Vunjabei hapa Mbeya mbona limedoda sana?

Yaani nilivosikia vunja Bei akili yangu ilikua inanituma vitu vitakua vinauzwa Bei cheap lakini mambo yamekua vice versa
 
Vunjabei labda kama ana biashara nyingine ya siri inayomfanya avimbe mjini,ila.kama ni hayo matambara yake anayouza,ataishia kuwashika washamba wa huko kwao makete.
Nenda na wewe kafanye ya Siri tuone ka utatoboa Mkuu...acheni kubeza hustle za wanaume wenzenu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…