Duka la waarabu Alwasif lanunua kipande cha lami Kariakoo, parking system wamuuzia parking 3 ila hapaki hata gari

Ada iliyokusomesha bora baba yako angecheza dubwi la kichina
 
Mjomba taratibu basi, wapi nimesema ni viwanja?
Rudia kusoma tena

Labda nigusie tu ni sehemu ya parking pembeni ya barabara, mbele ya maduka, angenunua au kulipia kwenye duka lake tu tungeelewa,

Ila huyu kalipia mpaka parking za maduka mengine wakati ni public spaces, kama bado unadhani yupo sahihi bila shaka utakua wewe ndie maskini na mtumwa mkubwa kuwahi kutokea duniani
 
Mkuu hayo maswali ulitakiwa uhiulize serikali yako iliyo mkodishia.
Na ndio nilioilenga hapa, nashangaa wamekuja wasemaji wengineeee
Ngoja labda niwatagi wahusika
@parking system
@tarura
@tanroad
@RC dar es salaam
@DC Ilala
 
HAPANA sio watanzania sema ww, mm nina ushahidi weusi wakitajirika ni wakorofi kuliko hata hao waarabu
 
Hii ni post ya kipumbavu sana tangu mwaka huu uanze
 
HAPANA sio watanzania sema ww, mm nina ushahidi weusi wakitajirika ni wakorofi kuliko hata hao waarabu
Hii ni post ya kipumbavu sana tangu mwaka huu uanze
Ngojeni sasa tuchukue hatua halafu ndio muanze kutafta pa kutokea, unadhani wahusika wakishindwa kuchukua hatua watanzania kama watanzania watashindwa kumshughulikia huyu? Dakika sifuri tu mbona huyu anarudi kwao omani sijui Yemeni huko
 
Jaribu uone, haya mambo unawajibika kwa jina lako, hao "wa Tanzania" Hutawaona ukiwa unaenda gerezani, gerezani unaingia kwa jina lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…