Duka la waarabu Alwasif lanunua kipande cha lami Kariakoo, parking system wamuuzia parking 3 ila hapaki hata gari

Ndio maana sometimes naelewa xenophobia ya WA South Africa .
Nchi haiwezi kustawisha raia wake kiuchumi kwa kuruhusu hadi uchuuzi kufanywa na wageni , hii ni kubinya fursa za kiuchumi kwa raia wako ,shughuli za uchuuzi zingeachwa kwa wazawa ili kuondoa barrier of entry hata vijana wanaojitafuta kufanya hizo shughuli na kuanza kupiga hatua kimaisha ,na si kuimport wachuuzi toka Asia kuja hapa na kuvuna wanachovuna na kutumikisha wabongo kama vijakazi
 
Hajanunua kipande cha lami, amenunua parking rights kwa muda wa mwaka mmoja. Mtu anaweza kununua parking rights popote pale, sio lazima mbele ya duka lako tu. Na hii inasaidia endapo mteja wake kaja na gari apate sehemu ya kupark. Sasa nyie mnataka mfanye biashara sehemu ya parking, halafu gari zipaki wapi?
 
Idd Amin,alipopinduliwa,alikimbilia Saudia,na wakampokea yeye na familia yake,na wengine kama yeye,wakapokelewq,na akafia na kuzikwa huko Saudia.Ogopa Karma.
 
Lakini wakati huo nyinyi weusi mmejazana kwenye nchi zao mkifanya huo uchuuzi.
Alafu kingine kinacho kupa haki ya kuwa raia wa Tz sio rangi yako.
Mbongo gani eh
Lakini wakati huo nyinyi weusi mmejazana kwenye nchi zao mkifanya huo uchuuzi.
Alafu kingine kinacho kupa haki ya kuwa raia wa Tz sio rangi yako.
Acha kuandika upuuzi wewe
Mbongo gani kajazana Asia anafanya uchuuzi mitaani wewe Kenge ?
 
Weka picha basi
 
Acha ungese
 
Tafuta hela na wewe upate parking acha kulia lia
 
Mji mkubwa ila mnaenda kuziba maduka ya watu , wanalipia fremu na Kodi na wafanyakaz hlf mbuz mmoja anaziba fremu yake
 
Figisu za biashara hizo kama hajavunja sheria pambana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna mtu kauza ngorongoro yote hujalalamika ndo ulie kuuziwa mwarabu parking 3?
 
Mji mkubwa ila mnaenda kuziba maduka ya watu , wanalipia fremu na Kodi na wafanyakaz hlf mbuz mmoja anaziba fremu yake
Acha kuandika useng€ kodi kodi yenyewe wanalipa kodi gani hao kum@ ?
Unajua kodi wewe ?
Hivyo vimishahara vya laki moja ndio vya kusacrifice future ya watu nchi nzima , unajua kwa kuwafurusha hao wapuuzi wote ni fursa ngapi zingezalishwa kwa watanzania wazaawa hapo kariakoo ?
Wewe unaona ni sawa kuwa na kundi la mamilioni ya wazawa wanafanya shughuli za kishenzi na ujira duni ,wakati kungekuwa na fursa za uchuuzi ingekuwa ni fursa za kwao kukuza kipato na kupiga hatua kiuchumi kuliko kuneemesha wageni wapumbavu toka Asia ?
Hivi unaangalia hata future ya hii nchi na kizazi chako ?
Au ndio kuangalia kwa urefu wa pua yako na tumbo lako kwa vile uneajiriwa kama kuli au winga kwenye duka la mhindi au mwarabu au mchina hapo kariakoo na wewe unajiona mwamba
Pumbafu
Hii nchi siku Mungu akinijalia kuwa kiongozi napiga risasi za vichwa Kenge wote kama ninyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…