Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #221
Usifanye hivyo, subiri na wewe nikutafutie wa kwako peke yako ๐ ๐dosho12 Binti wa zamani mwili wangu mtaukuta daraja la salenda ๐๐ถโโ๏ธ
NIshajichukulia maamuzi ๐Usifanye hivyo, subiri na wewe nikutafutie wa kwako peke yako ๐ ๐
Relax๐dosho12 Binti wa zamani mwili wangu mtaukuta daraja la salenda ๐๐ถโโ๏ธ
Hamna wa kwake peke yake kizuri ale na wenzio๐คฃUsifanye hivyo, subiri na wewe nikutafutie wa kwako peke yako ๐ ๐
We kwanini Uruhusu nishindie ugali na mchicha!๐คฃMallerina utaweza kushindia ugali mchicha wewe, au unasema sema tu๐
Hayo maamuzi tunajua yanakuponzaga,๐คฃNIshajichukulia maamuzi ๐
Hapo sasa ๐ ๐We kwanini Uruhusu nishindie ugali na mchicha!๐คฃ
Hapana bado nakuhitaji na taifa linakuhitaji mpwaNIshajichukulia maamuzi ๐
Kwani uongo alafu ana Figo zote mbiliHapo sasa ๐ ๐
Haya njoo mama nitauza hata hizi kengele zangu.Kwani uongo alafu ana Figo zote mbili
Men are very selfish๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Sio.uuze kwanza nije๐Haya njoo mama nitauza hata hizi kengele zangu.
Early redflagssss๐คฃduhMmmh, naona hatari kubwa mbele yangu
View attachment 3669165
Najua hivyo vitu vidogo vidogo kama figo havitakutisha ๐ hizo ni hatari ndogo sana!Mmmh, naona hatari kubwa mbele yangu
View attachment 3669165
Mimi nataka anipende hivi hivi na ushamba wangu.Najua hivyo vitu vidogo vidogo kama figo havitakutisha ๐ hizo ni hatari ndogo sana!
aunt naomba new comer mpya akiingia tu nipewe mimi ๐คHapana bado nakuhitaji na taifa linakuhitaji mpwa
Mmmh, wewe ungeweza?Mimi nataka anipende hivi hivi na ushamba wangu.
Unataka umtesekee nani?Mambo ya kumtesekea mtoto wa mwanaume mwenzio ni uongo.
Limeisha hilo ๐aunt naomba new comer mpya akiingia tu nipewe mimi ๐ค
Ningeweza jamani๐Mmmh, wewe ungeweza?
Unataka umtesekee nani?
Sasa naanza kuelewa kwanini upo single.Ningeweza jamani๐
Nataka tuteseke wote kwa pamoja.